Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshaanza kuonyesha Chuki za wazi kabisa kwa Wachezaji wa Simba SC na hakuna asiyejua kwamba huyu Kocha pia ana mahaba mno na ya Rangi za Njano na Kijani na anajulikana tokea huko Kwao kwa Matapeli wa Afrika kama siyo dunia kwamba anachukia mno Rangi Nyekundu na Nyeupe kutokana na Imani zake za Kipuuzi.
Kwakuwa Tapeli Amunike ameanza sasa Sisi wana Simba SC tufanye haya upesi ili ajue kwamba Tanzania hii yetu bila Simba SC bado haijakamilika:
1. Tugomee kwenda Taifa kuangalia mpira
2. Na ikitokea tukaenda basi dakika zote 90 tuizomee Taifa Stars na kuishangilia Timu ngeni
3. Ikiwezekana tumtafutie Mganga wa Kienyeji mahiri amroge hadi aione Tanzania chungu na akimbie
4. Na ikitokea akaita tena Wachezaji wa Simba SC basi wajitahidi wawe wanazitafuta Kadi Nyekundu kwa makusudi ili Kuihujumu Timu ili achukiwe na afukuzwe upesi
5. Kuanzia leo tutangaze rasmi kuwa Adui namba moja wa Simba SC ni Tapeli Amunike kutoka Nigeria
Atatutambua Simba SC!
Kimsingi Amunike ametugawa! Hatapata mafanikio na ataondoka kwa aibu! Pengine asishinde mechi hata moja.
syo siri kwa hili kocha amekurupuka ni bora angewachukua hata awaweke bench sasa hapo keshaigawa starz aambiwe tz kuna simba na yanga japo hakuna maendeleo
hapana nidhamu ndio imewagawa, wapo washabiki wa wahuni na washabiki wa mpira halisi.Kimsingi Amunike ametugawa! Hatapata mafanikio na ataondoka kwa aibu! Pengine asishinde mechi hata moja.
Acha useng wewe.... Wachezaji wamechelewa kuripoti kambini kwa mda walioambiwa.... Unataka u mwinyi kwenye masuala ya kitaifa... Wapigwe ban mazima....Ameshaanza kuonyesha Chuki za wazi kabisa kwa Wachezaji wa Simba SC na hakuna asiyejua kwamba huyu Kocha pia ana mahaba mno na ya Rangi za Njano na Kijani na anajulikana tokea huko Kwao kwa Matapeli wa Afrika kama siyo dunia kwamba anachukia mno Rangi Nyekundu na Nyeupe kutokana na Imani zake za Kipuuzi.
Kwakuwa Tapeli Amunike ameanza sasa Sisi wana Simba SC tufanye haya upesi ili ajue kwamba Tanzania hii yetu bila Simba SC bado haijakamilika:
1. Tugomee kwenda Taifa kuangalia mpira
2. Na ikitokea tukaenda basi dakika zote 90 tuizomee Taifa Stars na kuishangilia Timu ngeni
3. Ikiwezekana tumtafutie Mganga wa Kienyeji mahiri amroge hadi aione Tanzania chungu na akimbie
4. Na ikitokea akaita tena Wachezaji wa Simba SC basi wajitahidi wawe wanazitafuta Kadi Nyekundu kwa makusudi ili Kuihujumu Timu ili achukiwe na afukuzwe upesi
5. Kuanzia leo tutangaze rasmi kuwa Adui namba moja wa Simba SC ni Tapeli Amunike kutoka Nigeria
Atatutambua Simba SC!
Kwa mara ya kwwnza timu ya taifa itapigwa ndumba isishinde!Huo ni upuuzi, Huyu mwalimu hakika anajitambua na analijuwa haswa tatizo letu ktk soka.
Uwezo ndio unacheza mpira sio nidhamu pekee!hapana nidhamu ndio imewagawa, wapo washabiki wa wahuni na washabiki wa mpira halisi.
huwezi endelea kisoka ukiwa huna nidhamu
Afadhali ya sisi vyura jana tumetolewa kiume[emoji23]Hivi nyie mashabiki wa simba mpò sawa kiakili kweli?
Adeñ Rage aliwaambia nyie ni mambumbumbu