Simba SC Kocha Amunike ametubipu sasa Sisi tumpigie kwa style hii ili ajue kwamba Simba SC ni zaidi ya Yeye Wakuja na Mshamba tu!

Pumba tupu. Hapo mishipa ya shingo imekusimama kama mganga anaepunga mashetani.

sipo hapa kumfurahisha mtu. Over.
 
Ameshaanza kuonyesha Chuki za wazi kabisa kwa Wachezaji wa Simba SC na hakuna asiyejua kwamba huyu Kocha pia ana mahaba mno na ya Rangi za Njano na Kijani na anajulikana tokea huko Kwao kwa Matapeli wa Afrika kama siyo dunia kwamba anachukia mno Rangi Nyekundu na Nyeupe kutokana na Imani zake za Kipuuzi.

Kwakuwa Tapeli Amunike ameanza sasa Sisi wana Simba SC tufanye haya upesi ili ajue kwamba Tanzania hii yetu bila Simba SC bado haijakamilika:

1. Tugomee kwenda Taifa kuangalia mpira
2. Na ikitokea tukaenda basi dakika zote 90 tuizomee Taifa Stars na kuishangilia Timu ngeni
3. Ikiwezekana tumtafutie Mganga wa Kienyeji mahiri amroge hadi aione Tanzania chungu na akimbie
4. Na ikitokea akaita tena Wachezaji wa Simba SC basi wajitahidi wawe wanazitafuta Kadi Nyekundu kwa makusudi ili Kuihujumu Timu ili achukiwe na afukuzwe upesi
5. Kuanzia leo tutangaze rasmi kuwa Adui namba moja wa Simba SC ni Tapeli Amunike kutoka Nigeria

Atatutambua Simba SC!
Lkn pia kitendo alichofanya kinawaharbia future wachezaji husika kuonekana watovu wa nidhamu, pia kinaipaka matope Brand ya THIS IS SIMBA BUUUANNA.Nafikir Klabu iwaombee msamaha awarudishe yaishe. Hata hivyo pamoja na kwamba wadau wanashangaa maoni yako lkn ukweli ni kwamba huyu kocha keshatangaza Vita na mashabiki wa Simba amini nakwambia hii Lugola Style yake imemharbia sana. Atazomewa tuuuuuu nasema atapata taabu saaaaaaaaaaana.
 
syo siri kwa hili kocha amekurupuka ni bora angewachukua hata awaweke bench sasa hapo keshaigawa starz aambiwe tz kuna simba na yanga japo hakuna maendeleo
 
Ukapimwe akili
Mambo ya club uyalete kwenye timu ya taifa sisi yanatuhusu nini we kama unataka kwenda uwanjani kuizomea stars inacheza Uganda kazomee tu wataporudi kwao Waganda uende nao huu ushabiki wa kipuuzi usiokuwa na faida kwa club wala taifa
 
Ameshaanza kuonyesha Chuki za wazi kabisa kwa Wachezaji wa Simba SC na hakuna asiyejua kwamba huyu Kocha pia ana mahaba mno na ya Rangi za Njano na Kijani na anajulikana tokea huko Kwao kwa Matapeli wa Afrika kama siyo dunia kwamba anachukia mno Rangi Nyekundu na Nyeupe kutokana na Imani zake za Kipuuzi.

Kwakuwa Tapeli Amunike ameanza sasa Sisi wana Simba SC tufanye haya upesi ili ajue kwamba Tanzania hii yetu bila Simba SC bado haijakamilika:

1. Tugomee kwenda Taifa kuangalia mpira
2. Na ikitokea tukaenda basi dakika zote 90 tuizomee Taifa Stars na kuishangilia Timu ngeni
3. Ikiwezekana tumtafutie Mganga wa Kienyeji mahiri amroge hadi aione Tanzania chungu na akimbie
4. Na ikitokea akaita tena Wachezaji wa Simba SC basi wajitahidi wawe wanazitafuta Kadi Nyekundu kwa makusudi ili Kuihujumu Timu ili achukiwe na afukuzwe upesi
5. Kuanzia leo tutangaze rasmi kuwa Adui namba moja wa Simba SC ni Tapeli Amunike kutoka Nigeria

Atatutambua Simba SC!
Km kweli TZ tumefikia hatua hii, bhasi mafanikio tutayasikia tuu kwa wenzetu.
 
Halafu kesho na kesho kutwa tuje tuanze kutafuta mchawi kweli?
 
syo siri kwa hili kocha amekurupuka ni bora angewachukua hata awaweke bench sasa hapo keshaigawa starz aambiwe tz kuna simba na yanga japo hakuna maendeleo
Hivi wewe kwa ubongo wako umepangirika kisawasawa kweli? Mtu umemwambia njoo tarehe fulan halaf wewe una program fulan utawasubria waje muda wowote kisa mazoea MAMBO HAYO YAMEPTWA NA WAKATI mchezaji ambae atatoa udhuru yes Huyo ndie atakuwa mzur wewe unajiamlia ntaenda alhams ule bata kwanza?akl za ajabu sana hzo watu watabadilka nadhan kucheza tm ya taifa ni fursa pekee kwa watz wote wanaocheza mpra AMUNIKE UMEFANYA MAAMUZI SAHIHI NA UTAFANIKIWA SANA NADHANI TUMEPATA WA KUONDOA DHANA YA USIMBA NA UYANGA

GOOO FOWARD OUR HEAD COACH NO ONE ABOVE YOU IKIWEZEKANA PIGA CHIN WOTE WAJISIKIAAO TENGENEZA BRAND YAKO MPYA VIPAJI VIPO WACHEZAJI WAPO TENA ZAID YA AKNA KICHUYA AJIBU KAPOMBE N.K

SHABIKI NAMBA ONE WA TAIFA STARS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom