Simba SC kufungwa mara tatu mfululizo na Yanga hii itakuwa ni fedhea

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo?

Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia.

Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.

C708EE93-069F-4C0A-8768-1DB9C9764656.jpeg
 
Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo?

Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia.

Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.

View attachment 2714823
Tena tumefungwa kizembe aisee, hasa ile mechi ya ngao mwaka jana. Tulianza kushinda mayele akasawazisha na kuongeza la ushindi. Hta ile ya mwaka juz mayele ndo katuua. Inabid hii ya jpil tushinde jmn
 
Kwa Simba Ile ya Jana ambayo hata Singapore Big Stars tu wameishindwa ikija kwa Yanga labda wacheze kumi! Ila Mukoko hayupo ni kichapo tu!
 
Lzm yanga watatulaza na viatu safarii siyo kwa mpira huo ,sis Simba Bado Sana tunatukuzwa na kupewa sifa zisizo tustahili
 
Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo?

Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia.

Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.

Na mtafungwa tu. Maana hakuna namna nyingine ya kunusulika na kichapo. Kama Singida tu imewatoa kamasi, Yanga ndiyo mtaiweza?

Kikombe walichonywea ndugu zenu wa Azam na nyinyi mtakinywea hicho hicho.
 
Back
Top Bottom