Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mara ya mwisho Simba ilishinda 2-0. Hiyo mfululizo inatoka wapi?Simba sc kufungwa mara tatu mfululizo na yanga hii itakuwa ni fedhea.
Ngao ya jamii mkuu, hii siyo ligi.Mara ya mwisho Simba ilishinda 2-0. Hiyo mfululizo inatoka wapi?
Hiyo ilikuwa ni ligi kuu, kwenye ngao wametufunga mara mbili mfululizo.Mara ya mwisho mbona Inonga na kibu walifanya yao.
Wapi ulipoandika kwenye Ngao ya jamii? Kwa hiyo huo uchungu unaupata wakati wa ngao ya jamii tu? Ikifika Ligi, uchungu unaruka, unasubiri ngao nyingine?Ngao ya jamii mkuu, hii siyo ligi.
Tena tumefungwa kizembe aisee, hasa ile mechi ya ngao mwaka jana. Tulianza kushinda mayele akasawazisha na kuongeza la ushindi. Hta ile ya mwaka juz mayele ndo katuua. Inabid hii ya jpil tushinde jmnSijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo?
Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia.
Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.
View attachment 2714823
Naona Kolo mmoja anampopoa Kolo mwingine. Nafurahi sana nikiona Makolo wanafarakana!Wapi ulipoandika kwenye Ngao ya jamii? Kwa hiyo huo uchungu unaupata wakati wa ngao ya jamii tu? Ikifika Ligi, uchungu unaruka, unasubiri ngao nyingine?
Kakurupuka...Mara ya mwisho Simba ilishinda 2-0. Hiyo mfululizo inatoka wapi?
Na mtafungwa tu. Maana hakuna namna nyingine ya kunusulika na kichapo. Kama Singida tu imewatoa kamasi, Yanga ndiyo mtaiweza?Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo?
Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia.
Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.