Simba Sc kusimamisha nchi kesho saa 7 mchana

Hakuna cha kusimsmisha nchi hapa, kwa ''lipi? Mnyero fc mlilokuwa nalo, labda barakoa. Siku hizi nyie ni 🐕
 
mi nishabiki wa simba but nauhakika kabisa hakuna jipya lolote...simba sikuhz kuna wazee pale kwenye uongozi ambao hawajui chochote kuhusu mpira,ndo yaleyale ya kutuletea wale wabrazil coco

Wewe unajua nini kuhusu mpira mkuu?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watasimamisha nchi gani?. Kuna kipya kipi?. Kwa kweli tunahitaji sana mabadiriko kwenye mfumo wa hii mitimu mibovu mibovu ya kibongo hii. Kazi kula tu hela za wafadhiri,mitimu inasajili kuifunga Yanga au simba tayari msimu umeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unajua nini kuhusu mpira mkuu?


Sent from my iPhone using JamiiForums
unataka tu kuleta ubishi usio na maana mkuu..mimi ni shabiki wa simba damudamu but inatakiwa viongozi wabadilike,wajitahidi kutafuta wachezaji wazuri wenye umri mdogo ili hichi kizazi cha kina boko,nyoni na kina kagere kikiondoka tuwe na timu nzuri yenye vijana waliokaa pamoja mda mrefu na sio kutuletea wale wazee wa brazil ambao hata kiwango chao hakiridhishi...masuala ya kufanya mambo kienyeji enyeji tuwaachie utopolo fc
 
Pole pole jameni, msije haribu eid za watu! "The frogs" washaanza kununa....waoneeni huruma...hapo wale eid kwa furaha!
 
Ombea huyu ceo awe simba miaka 5 hakika utaipenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tokea tufungwe na Vyura sina tena kiburi cha kupiga kelele kisa Simba
usifungwe we nani. nitajie timu moja duniani ambayo haijawahi kufungwa. utakuwa shabiki mandazi we jamaa
 
Wakiwekwa wadogo mnaanza ooooh timu haina wazoefu... inatakiwa wawekwe watu waliocheza mech nyingii....

Nyie watu embu acheni watu wafanye kazi zao... ukitaka mabadiliko tafuta nafasu nawe uwepo pale......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…