The Iron
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 1,396
- 1,464
Nitake radhi mkuu mimi Simba damu damu sema tu kile kichapo kilinikata Morali, Bore kufungwa na Ndanda 10 bila kuliko kufungwa na Vyura watembeza bakuli alafu yule kocha chenga Hamna kitu paleusifungwe we nani. nitajie timu moja duniani ambayo haijawahi kufungwa. utakuwa shabiki mandazi we jamaa