Simba Sc kusimamisha nchi kesho saa 7 mchana

Simba Sc kusimamisha nchi kesho saa 7 mchana

Hii misukule ya Mbumbumbu fc kila siku inafanywa mapoyoyo saa 10 hakuna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Manara muone vile vile, ana karama ya utapeli japo hawezi kumtapeli mtu ambaye si Mbumbumbu. Nitakupa mifano:
1. Ni Manara huyu huyu aliwaambia 5imba Koko a.k.a Mbumbumbu kuwa ameandika barua kwa Rais wa FIFA na kuwaambia Mbumbuz wakae mkao wa kula, Kagera Sugar watapokwa points na watapewa wao. Cha ajabu ni kwamba, Rais wa FIFA hakuwa akijua Kiswahili wala Kiarabu...LIONGO. Mbumbumbu walikubali 😀 😀

2. Manara huyu huyu aliwaambia Mbumbumbu FC a.k.a Barakoa FC kuwa siku ya Tarehe 8, mwezi Morison Mwaka 2020 atainyamazisha nchi. Siku hiyo ilipofika, Manara kwa kujua kuwa alikuwa muongo alikimbilia Spain akiwaahidi 5imba Koko kuwa ameenda kuomba viatu vilivyobakia kwa wachezaji wa Sevilla (wale ambao hawakuwa tayari kutembea peku peku that day, soceroos wanakumbuka hii fedheha). Alirudi hapa bila viatu, na kama kawaida yake, akajifanya ana corona akajifungia siku 14, alipotoka ndani...IMEISHA HIYO

Lakini,
3. Manara hana ubavu wa kudanganya mtu ambaye si Mbumbumbu. Siku moja ya mwaka mmoja ya mwezi ulio mbaya kwake, Manara alijitutumua kutest lami ya mkoa wa Kilimanjaro, eti naye ni Road Master...thubutuuu! Alidhani anadeal na Mbumbu square, kumbe watu wanamchora tu

1590562633105.png


Watu wakamwambia mambo ya kihuni apeleke kuleeeeee sokoni

1590562789714.png
 
Back
Top Bottom