Simba Sc kusimamisha nchi kesho saa 7 mchana

Simba Sc kusimamisha nchi kesho saa 7 mchana

Bada ya hapo tukutane viwanja tofautitofauti Kama agizo la mweshimiwa linavyosema🍻🍾🥂🥤🥃🍹🍸👏👏TANZANIA RAHA SANAA!!!! COVID19 BASI
 
Anafanya maamuzi ya kimkakati kama vile serekali ya awamu ya sita.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wewe simba nyau,usije ongea haya maneno hadharani utakuja kuumizwa na mashabiki washari. Senzo anaiendesha Simba kisomi na kimkakati

komesha korona
 
Back
Top Bottom