Simba Sc kusimamisha nchi kesho saa 7 mchana

Timu inakuwa na wachezaji wazoefu but inajikita kusajili vijana wadogo zaidi..wazoefu wasajiliwe but wadogo wapewe kipaumbele...tuachane na mihemko sjui ya kuleta wabrazil coco wenye miaka 31 wakati kuna watoto pale mtigwa wanamiaka 19 na kiwango kuliko hao wazee waki brazil
Wakiwekwa wadogo mnaanza ooooh timu haina wazoefu... inatakiwa wawekwe watu waliocheza mech nyingii....

Nyie watu embu acheni watu wafanye kazi zao... ukitaka mabadiliko tafuta nafasu nawe uwepo pale......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi nishabiki wa simba but nauhakika kabisa hakuna jipya lolote...simba sikuhz kuna wazee pale kwenye uongozi ambao hawajui chochote kuhusu mpira,ndo yaleyale ya kutuletea wale wabrazil coco
Wana Nazi ya kumpiga MO majungu
 
Wewe umejuaje Kama hawajabadilika? Wameshatangaza usajiri upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira wa Tanzania ni sawa na filamu za maigizo ya kina Senga, Bambo na Mtanga.

Hakuna la maana zaidi ya vichekesho na wachumia tumbo



"Not everything is for everybody"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…