Simba Sc kusimamisha nchi kesho saa 7 mchana

Bada ya hapo tukutane viwanja tofautitofauti Kama agizo la mweshimiwa linavyosema🍻🍾🥂🥤🥃🍹🍸👏👏TANZANIA RAHA SANAA!!!! COVID19 BASI
 
Shadeeya hivi hawa mkia fc walifanya tukio gani hio sa saba??? Mbna sijalikiska

komesha korona
 
Anafanya maamuzi ya kimkakati kama vile serekali ya awamu ya sita.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wewe simba nyau,usije ongea haya maneno hadharani utakuja kuumizwa na mashabiki washari. Senzo anaiendesha Simba kisomi na kimkakati

komesha korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…