Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kama anaipenda Simba kwanini hakusajili na akaenda kusajili sehemu nyingine,,mkiitwa mbumbumbu muwe waelewa watu wanaangalia hela we unasema mapenzi ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anaipenda Simba kwanini hakusajili na akaenda kusajili sehemu nyingine,,mkiitwa mbumbumbu muwe waelewa watu wanaangalia hela we unasema mapenzi ..
Hafurahii au amekutana wachezaji Bora/mfumo umemkataa.mkataba wake Ni muda mfupi mchezaji professional anapambana kupandisha thamani yake.Ngoja nikufahamishe kama ulikuwa haujui
Management ya Yanga ilimfata Manzoki kutaka kumsajiri lakini Manzoki alikataa.
Alikataa kwasababu Club yake anayoipenda ni Simba, ni kama ilivyotokea kwa Chama Yanga walipojaribu kumfuata.
Manzoki anaikibali Simba na ndio maana aliweka ahadi ya kuwa asipokuwa top scorer atarudisha pesa za usajili.
Na sasa watu tunafatilia ligi ya China, Manzoki mechi nne sasa hajacheza, hafurahii kuwa kule, ni muda tu unasubiriwa aje dirisha dogo.
Kumbe mtupu kichwaniUmeanza kushabikia mpira lini? Oscar, Drogba, Ramilez, Paulinho hauwafahamu?
Naona mapenzi yanaenda kuizidi pesa kwa habari zinazotrend sasa hivi naomba tuwe na akiba ya manenoNmekuelewa vizuri sana Ngasa ni mtanzania amekulia hapa anaweza kua na mapenzi na club za hapa lakini pia ujinga wa wachezaji wetu lakini leo huwezi niambia Manzoki mkongo anaipenda Simba! Kwa lipi hasa? Messi pamoja na kuipenda Barcelona yupo zake PSG anavuta hela ije kua Manzoki? Simba imemfanyia nini hasa mpaka aipende?
Inaonyesha jinsi gani utopolo mko hovyo vichwani mwenuKwa heshima na taadhima. Mimi naamua nikuache kama ulivyo na kile alichojaza akilini mwako.
Heshima kwa Rage[emoji3581]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kwa uandishi watu wengine pia watajua nani bolizozo kati yangu na wewe. Huna point unaquote tu unaandika utumbo.Inaonyesha jinsi gani utopolo mko hovyo vichwani mwenu
Lakini kwa trend ya sasa naona mupesa gwa guchina gunaenda kushindwa na mapenzi sijui mtaweka wapi sura zenu kima nyie
Dawa imekuingia tayari?Nadhani kwa uandishi watu wengine pia watajua nani bolizozo kati yangu na wewe. Huna point unaquote tu unaandika utumbo.
Njoo na point otherwise usipoteze muda kuni quote.
Sent using Jamii Forums mobile app