4293
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 218
- 353
Hizo changamoto GSM hakumbani nazo?Kama haujawahi kufanya biashara na wachina na kampuni za shipping inabidi utulie tu hujui wanaume tunakumbana na changamoto gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo changamoto GSM hakumbani nazo?Kama haujawahi kufanya biashara na wachina na kampuni za shipping inabidi utulie tu hujui wanaume tunakumbana na changamoto gani
Namuongezea Aishi Manula ni mpenzi wa Yanga kwao wote ni utopolo ila anacheza simbaWewe una matatizo ya akili siyo bure, wachezaji wazawa ambao ni wapenzi wa kuzaliwa wa Simba na Yanga wameshacheza timu tofauti na anayoipenda.
Kwa uchache tu Zamoyoni Mogela alikwenda Yanga, na Thomas Kipese alicheza Yanga, hawa wote ni Simba damu.
Ukiandika ushuzi huu siku nyingine kwa watu wenye akili utachekwa. mazoki na Simba au Yanga wapi na wapi, hao wanatafuta pesa tu.
Mtu kama Chama akienda Yanga atacheza namba ya nani? Kama Aziz Ki anaanzia benchi mtu kama Chama si hata jezi atakuwa havai?
Namuongezea Aishi Manula ni mpenzi wa Yanga kwao wote ni utopolo ila anacheza simba
Ninachofurahi kwasasa nimeshajua uwezo wa akili yako, Yani wewe ni hopeless kabisa aisee[emoji1]
HersayNgoja nikufahamishe kama ulikuwa haujui
Management ya Yanga ilimfata Manzoki kutaka kumsajiri lakini Manzoki alikataa.
Alikataa kwasababu Club yake anayoipenda ni Simba, ni kama ilivyotokea kwa Chama Yanga walipojaribu kumfuata.
Manzoki anaikibali Simba na ndio maana aliweka ahadi ya kuwa asipokuwa top scorer atarudisha pesa za usajili.
Na sasa watu tunafatilia ligi ya China, Manzoki mechi nne sasa hajacheza, hafurahii kuwa kule, ni muda tu unasubiriwa aje dirisha dogo.
Kuna watu hua wanamuaminia kinoma eti anajua football ila ukiangalia mashudu anayoshusha unabaki unacheka tuNinachofurahi kwasasa nimeshajua uwezo wa akili yako, Yani wewe ni hopeless kabisa aisee[emoji1]
Baada ya kuishiwa hoja ya kutetea madai yako, ushageuka mpiga ramli sasa.Ninachofurahi kwasasa nimeshajua uwezo wa akili yako, Yani wewe ni hopeless kabisa aisee[emoji1]
Hersay ndio kitu gani ebu niambie isije ukawa umenitukana kikwenuHersay
Ngoja nikufahamishe kama ulikuwa haujui
Management ya Yanga ilimfata Manzoki kutaka kumsajiri lakini Manzoki alikataa.
Alikataa kwasababu Club yake anayoipenda ni Simba, ni kama ilivyotokea kwa Chama Yanga walipojaribu kumfuata.
Manzoki anaikibali Simba na ndio maana aliweka ahadi ya kuwa asipokuwa top scorer atarudisha pesa za usajili.
Na sasa watu tunafatilia ligi ya China, Manzoki mechi nne sasa hajacheza, hafurahii kuwa kule, ni muda tu unasubiriwa aje dirisha dogo.
Sikumbuki kama kuna siku nishawahi set mialiko kuwapanga watu time waje wanisifie. Hili la kusema kuna watu wananisifia ndio kwanza nalisikia kwako na kama ni kweli watu hao wapo basi hiyo kwangu ni zaidi ya recognition na nawashukuru kwa hilo.Kuna watu hua wanamuaminia kinoma eti anajua football ila ukiangalia mashudu anayoshusha unabaki unacheka tu
Hivi upo sawa kweli weweBaada ya kuishiwa hoja ya kutetea madai yako, ushageuka mpiga ramli sasa.
Nyie si mlikuwa mnapiga kelele humu kuwa haiwezekani mchezaji kuacha hela kwenda timu nyingine kwasababu ya mapenzi?
Nimekuwekea link ya video ya aliyekuwa afisa habari wenu akithibitisha kuwa mapenzi ya mchezaji yalifanya asiione thamani ya pesa aliyoahidiwa kupewa. Sasa umeishiwa hoja za kujibu umeanza na personal attacks & abuse
Hoja zako za kuniita hopeless ndio hizi au kuna zingine?Hivi upo sawa kweli wewe
Nimekuuliza kilichomfanya Ibrahim 2017 atoke Simba kuja Yanga ni Nini? Na kwanini alirud tena simba baada ya mkataba wake kuisha?
Kama kweli alikuwa ana mapenz na hiyo timu yake kilichompeleka Yanga kipindi kile ni nini??
Ivi unafikiri kwanini Kibadeni(MwanaSimba kindaki kindaki) pamoja kuwa na kiwango bora hakuweza kuchezea Yanga kipindi kile
Alafu unaniletea Video ya Bumbuli hapa[emoji1] yani tayar unasahau kama huyo mchezaji alishakuonesha kwa vitendo kuwa sehemu yenye mpunga mzur yeye anafanya kazi.
Ni shabiki wa Simba usishangae kukuta hilo..
Personal attack ipo wapi kama hoja yako ni kwamba Manzoki anaipenda Simba kuliko pesa tutajadiri nini?Sikumbuki kama kuna siku nishawahi set mialiko kuwapanga watu time waje wanisifie. Hili la kusema kuna watu wananisifia ndio kwanza nalisikia kwako na kama ni kweli watu hao wapo basi hiyo kwangu ni zaidi ya recognition na nawashukuru kwa hilo.
Prolly I always been telling the truth you don't want to hear
Mmeshindwa kupangua hoja mnakuja na personal attacks
Mpaka saizi hakuna aliyeweza ku refute hoja yangu ambayo iko supported na ushahidi niliouweka kupitia zile video mbili
Chama angekua anaipenda Simba angeenda Morocco?Hoja zako za kuniita hopeless ndio hizi au kuna zingine?
Nishakuambia kuwa mchezaji mwenye mapenzi na Club anaweza kwenda popote hata asipopapenda ikiwa tu Club yake anayoipenda ikaamua kuachana naye.
Nikakupa na mfano kuwa hata katika lile sakata la Chama kutolewa udende na Uto lingewezekana kuwa kinyume endapo Simba wasingeeonesha nia ya kumtaka.
Kama ambavyo Ajibu alivyotemwa na Simba msimu uliopita, means hakuwa na option nyingine zaidi.
Sasa tofautisha mchezaji kuja Klabuni kwasababu hana option na mchezaji kuwaniwa na timu mbili halafu kati ya hizo timu kuna timu anayoipenda.
Unakataa ushahidi wa video kutoka kwa mtu wa ndani kabisa wa Club?
Unanipa mashaka kama unaishirikisha vizuri akili yako kufanya reasoning. Nimekuwekea video mbili hapo, ya kwanza ni Mwinyi Zahera akizungumzia Ajibu kukataa dili nono alilowekewa na Tp Mazembe halafu saizi unasema kuwa Ajibu alienda Simba kwa kufata mtonyo mrefu aliowekewa mezani.
Hivi unaelewa hata mkataba aliopewa ajibu kuja Simba ilikuwa ni shingapi na dau alilolikacha Tp Mazembe ilikuwa ni shingapi?
Au unaandika tu ilimradi?
Haya tuje kwenye ishu ya bumbuli, kwani kwenye hiyo video bumbuli ajaelezea sababu za Ajibu kwenda Simba?
Wapi kasema kuwa ameenda Simba kwasababu ya offer ya pesa nyingi?
Umeangalia video yenyewe kwanza au tatizo ni bando la mashaka?
Kwa hiyo Hassani Bumbuli kadanganya na Mwinyi Zahera naye kadanganya pia si ndio unachotaka kumaanisha hapa?
Ulitaka upate ushahidi kutoka chanzo gani kingine ikiwa Afisa Habari wa ndani ya Club amesema hivyo na bado humuamini?
Chanzo gani, au Dauda Tv?
Chama kwenda Morroco haikuwa willing yake ni Simba wenyewe ndio walio muuzaChama angekua anaipenda Simba angeenda Morocco?
Hizi habari uwe unawaambia watoto wenzako huko, hivi (1)Chama mpka umri huo kacheza timu ngapi ije ang'ang'anie Simba? mfano Yanga tujidanganye eti Tuisila karudi sababu anaipenda Yanga ?Chama kwenda Morroco haikuwa willing yake ni Simba wenyewe ndio walio muuza
Na ndio maana alipokuwa kule hakuwa na furaha na ndio sababu kina Hersi kutumia nafasi hiyo kumshawishi aje Yanga
Katika hizo timu alizocheza alipata huo ufalme ambao saizi kila mtu anamzungumzia ubora wake?Hizi habari uwe unawaambia watoto wenzako huko, hivi (1)Chama mpka umri huo kacheza timu ngapi ije ang'ang'anie Simba? mfano Yanga tujidanganye eti Tuisila karudi sababu anaipenda Yanga ?
(2)
hivi mchezaji anauzwa kama mbuzi hana maamuzi ? nikisema hauna unalo lijua unasema personal attack