ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Unafahamu kilicho mrudisha kwao kipindi kile mpka viongozi wa Simba wakamfuata? ufalme una maana gani bila masilahi? anaipenda Simba sababu analipwa vizuri acheni kumpa hela uone moto wakeKatika hizo timu alizocheza alipata huo ufalme ambao saizi kila mtu anamzungumzia ubora wake?
Chama mwenyewe anaitaja Simba kama ni nyumbani ni sehemu iliyompatia mafanikio ya kisoka kuliko sehemu yeyote aliyowahi kupita
Hata wazazi wake wame admit kama ulifatilia mahojiano yao kile kipindi
Kuna vitu unashindwa kuvielewa halafu unavichanganya kwenye hoja
Sio kila mchezaji anakuwa na mapenzi na timu, wapo fakers ambao ni after money ambao wako tayari hata kufanya vibaya kwenye mechi endapo tu watahidiwa pesa
So usichukulie kila anayekuja kujiunga na Club yako ana mapenzi na Club yako
Tunasema mapenzi kama inatokea kuna Club nyingine imeonesha nia ya kumtaka halafu akaja kwenye Club licha ya kwamba pesa yako ni ndogo kuzidi ile timu nyingine iliyo mtaka.
Sasa ukimtaja Tuisila we unavyoona ana fit kwenye hoja gani hapo?
Na ndio nimekupa video ya Hassan Bumbuli uiangalie usikie alichokizungumza, halafu relate na hoja yangu utaona point nayoikusudia kwa Manzoki.