Simba SC kwanini mnazubaa na kuwa wazembe hivi?

Hafurahii au amekutana wachezaji Bora/mfumo umemkataa.mkataba wake Ni muda mfupi mchezaji professional anapambana kupandisha thamani yake.
 
Naona mapenzi yanaenda kuizidi pesa kwa habari zinazotrend sasa hivi naomba tuwe na akiba ya maneno
 
Kwa heshima na taadhima. Mimi naamua nikuache kama ulivyo na kile alichojaza akilini mwako.

Heshima kwa Rage[emoji3581]

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonyesha jinsi gani utopolo mko hovyo vichwani mwenu
Lakini kwa trend ya sasa naona mupesa gwa guchina gunaenda kushindwa na mapenzi sijui mtaweka wapi sura zenu kima nyie
 
Inaonyesha jinsi gani utopolo mko hovyo vichwani mwenu
Lakini kwa trend ya sasa naona mupesa gwa guchina gunaenda kushindwa na mapenzi sijui mtaweka wapi sura zenu kima nyie
Nadhani kwa uandishi watu wengine pia watajua nani bolizozo kati yangu na wewe. Huna point unaquote tu unaandika utumbo.

Njoo na point otherwise usipoteze muda kuni quote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…