Simba SC 'mdhibitini' upesi sana Zackaria Hanspope na huu 'Uzushi' wake hukusu akina Chama, Miquissone na Bwalya atatuharibia

Simba SC 'mdhibitini' upesi sana Zackaria Hanspope na huu 'Uzushi' wake hukusu akina Chama, Miquissone na Bwalya atatuharibia

Japo Mimi ni mwana Simba SC na Wewe ni Mwana Yanga SC ila hapa Mkuu umeandika ukweli mtupu na nitamshangaa Mtu wa Simba SC akipinga.
Mashabiki uchwara watakua wanakuchukia sana

leo ukisema simba haina beki ya kati nzuri. wanakuja na matusi

Viongozi wa simba waliondoka kabla ya mpira kuisha. nadhani walikua wana ona aibu kwa sababu ya maneno yao kwenye media

NB. Mpira hauchezwi mdomoni
 
Nimesikitika sana kama siyo mno Kumsikia leo mchana kupitia Kipindi cha Michezo cha Clouds FM Jumapili Mchana 'akiwashutumu' wazi wazi Wachezaji akina Clatous Chama, Luis Miquisonne na Larry Bwalwa kuwa Jana walicheza chini ya Kiwango na kwamba wanatakiwa 'Wahojiwe' kwani kuna uwezekano 'Wameihujumu' Klabu kwa 'Kuhongwa' na Yanga SC.

Nilikuwa sijui kuwa kumbe Mzee Hanspoppe ni 'mtupu' hivi Kichwani kwani ameshindwa tu kujua kuwa jana Chama amecheza akiwa na Majeraha ya Mechi ya Kagera Sugar, Luis Miquissone ndiyo aliyepiga Kona iliyozaa Goli lililotuokoa na 'Aibu' na Larry Bwalya jana ilikuwa ndiyo 'Derby' yake ya Kwanza hapa Tanzania.

Simba SC henu mfungeni 'Speed Governor' ya Mdomo huyu Hanspoppe kwani siyo 'Siri' ni 'Mvurugaji' na atatuharibia Klabu yetu. Amenikera sana.
Yaani wewe unakereka kuliko Hans anayetoa fedha zake?! Duh vituko haviwezi kuisha
 
analalamika bure,mechi ipi ya yanga chama amewahi onekana. huyu anatamba kwenye vitimu vidogo.

hao wengine mtatafuta sababu tu mara ndo derby ya kwanza kwani T.K,Mukoko, sarpong ni ya ngapi kwao hao wenu ni uwezo mdg wa mechi za kibwege bwege

yanga ahongi anakukimbiza kibabe sio kama mlivyo muhonga morrison mkashinda kibwege jana babu onyango anakamata miguu mnakataa sio penati mbumbumbu bwana
Ulishasahau kama uligongwa 4 na huyu chama akisumbua vilivyo
 
Yaani wewe unakereka kuliko Hans anayetoa fedha zake?! Duh vituko haviwezi kuisha
'Pimbi' mkubwa Wewe huyo 'Basha' wako anatoa Pesa zake wapi? Ndiyo huwa anakudanganya ukiwa nae Kitandani 'anakugeuzageuza' kama 'Chapati' za Maji? Tena usitake 'Kunitibua' na nikakutolea 'Siri' zake 'Kibao' tu za 'Madhaifu' yake ambazo huwa nazipata mara kwa mara kutokea kwa Watu wake wa karibu kabisa pale katika 'Baa' yake ya 'Silver Pipe' Kawe Avacado mkabala ya Triple Seven Hotel sawa? Tena kaa Kimya!

Kama kuna Mtu 'Tapeli' na ameshiriki pia 'Kuiharibu' Simba SC ni huyu huyu 'Basha' wako 'Mipama' na najua kuna 'Wapumbavu' kama Wewe ameshawashikieni 'Akili' zenu mbovu. Hanspoppe akiwa anatoa Hela zake kwa Simba SC Mohammed Mo Dewji Yeye atakuwa anatoa nini? au Mzee Bakhressa japo ana Timu yake ya Azam FC lakini bado ni Mmoja wa 'Wafadhili' wakubwa tu wa Simba SC yako je, unalijua hili 'Juha' Wewe?

Isingekuwa tu 'Huruma' ya anayekutawala 'Kikatiba' sasa hapa Tanzania kuwa ni Mwanasimba Mwenzetu sasa hivi huyu Mipama ( Hanspoppe ) wako angekuwa ndani ( Jela ) kwa Makosa yake Mawili makubwa moja liko chini ya TRA na lingine lipo chini ya TFF na bahati nzuri hata 'dossier' ya 'Mapungufu' yake Mamlaka husika inayo. Sasa kama Yeye ni Jeuri mbona hivi leo anahangaika kutaka Kuwaomba Msamaha hao Wachezaji?

Wakati Wewe 'ukimshobokea' huyu Hanspoppe wako, ila Mimi nimeshawahi Kujitoa 'Muhanga' kwa Klabu yangu Kushinda Mechi zake zote Muhimu.
 
analalamika bure,mechi ipi ya yanga chama amewahi onekana. huyu anatamba kwenye vitimu vidogo.

hao wengine mtatafuta sababu tu mara ndo derby ya kwanza kwani T.K,Mukoko, sarpong ni ya ngapi kwao hao wenu ni uwezo mdg wa mechi za kibwege bwege

yanga ahongi anakukimbiza kibabe sio kama mlivyo muhonga morrison mkashinda kibwege jana babu onyango anakamata miguu mnakataa sio penati mbumbumbu bwana
Chama ndio MVP wa msimu uliopita (kuwa na kumbukumbu)

Mpaka hivi sasa hakuna mchezaji yeyote pale Yanga anamzidi kitakwimu Chama msimu huu. (2 goal + 5 assist)

Kuwa na adabu
 
Baki kwenye rede ndio size yako
Nina miaka kama 25 tangu nimeangalia game kati ya timu hizi 2 (iwe live uwanjani ama kwenye runinga). Jana nimeangalia runingani nimekuwa extremely disappointed na sitakuja kurudia tena kupoteza time yangu kuangali hii game.

Kwa kelele ninazoziona na kuzisikia kwenye media kuhusu vilabu hivi siku hizi nilidhani zinapiga mpira fulani babu kubwa.... lakini jana nime confirm kwamba hivi vilabu 2 ni kama roho fulani ya kishetani imewaingia watu kuvishabikia blindly kama misukule.

Ndiyo mpira gani ule?
 
Chama ndio MVP wa msimu uliopita (kuwa na kumbukumbu)

Mpaka hivi sasa hakuna mchezaji yeyote pale Yanga anamzidi kitakwimu Chama msimu huu. (2 goal + 5 assist)

Kuwa na adabu
huyu chama anatamba mechi ndogo rejea mechi za nyuma na yanga ipi amewahi tamba.
 
Ulishasahau kama uligongwa 4 na huyu chama akisumbua vilivyo
nakumbuka mkuu ile mechi mliyo muhonga morison akacheza chini ya kiwango baada ya kuwapiga mechi ya awali.
 
Mmetoka sare na nani?

Refa kaifunga Simba then Simba ikaifunga Yanga, droo inatokea wapi?
Huyo refa aliyeifunga Simba ni wangapi hapo kwenye msimamo?
JamiiForums1357148094.jpg
 
analalamika bure,mechi ipi ya yanga chama amewahi onekana. huyu anatamba kwenye vitimu vidogo.

hao wengine mtatafuta sababu tu mara ndo derby ya kwanza kwani T.K,Mukoko, sarpong ni ya ngapi kwao hao wenu ni uwezo mdg wa mechi za kibwege bwege

yanga ahongi anakukimbiza kibabe sio kama mlivyo muhonga morrison mkashinda kibwege jana babu onyango anakamata miguu mnakataa sio penati mbumbumbu bwana
Wapumbavu Sana hawa Mikia ya mbwa
 
Back
Top Bottom