Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Mashabiki uchwara watakua wanakuchukia sanaJapo Mimi ni mwana Simba SC na Wewe ni Mwana Yanga SC ila hapa Mkuu umeandika ukweli mtupu na nitamshangaa Mtu wa Simba SC akipinga.
leo ukisema simba haina beki ya kati nzuri. wanakuja na matusi
Viongozi wa simba waliondoka kabla ya mpira kuisha. nadhani walikua wana ona aibu kwa sababu ya maneno yao kwenye media
NB. Mpira hauchezwi mdomoni