Umesema nina 'Chembechembe' za 'Ushoga' halafu hapo hapo tena unajitapa ( unajimwambafai ) kabisa kuwa Wewe ni 'Baharia' wakati Wenzako Watoto wa 'Down Town' tunajua ukijiita 'Baharia' tayari umeshajitanabaisha na kujihalalisha kuwa Wewe ni 'Shoga Mwandamizi' hivyo ulichokifanya hapa ni 'Kututhibitishia' tu hivyo nakupa 'Hongera' mno.
Kuhusu Mimi kuwa sijui 'Much Know' wala hujakosea na labda nikuambie tu kuwa ninajua mambo mengi na vitu vingi na wala sitoacha kuwa 'Much Know' hivi kama nikiwa 'Hai' na nikiendelea kuwa 'JamiiForums Member' sawa? Hivi kama Mimi napenda sana kuwa 'Rich in Knowledge' tena 24/7 kwa kupenda Kusoma, Kusikiliza na Kutizama Habari, Kujichanganya na Watu tena Authoritative, Credible and Reliable huku nikiwa Mtu wa 'Jamii' na 'Exposure' ya 'Wastani' niliyonayo ya maeneo mbalimbali hapa Duniani GENTAMYCINE nitaacha kuwa 'Mjuvi' wa Kutukuka?
Kuhusu Mimi kushinda Msimbazi wala hujakosea nashinda kweli kwakuwa Mimi ni mwana Simba SC wa ndani kabisa na huwa najitoa 'Mhanga' ishinde. Na mwisho kabisa ili nikuonyeshe kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine na ukijifanya Wewe ni Simba SC na huyo Pimbi na Basha wako Hanspoppe ( Mipama ) kuna Jambo limetokea leo Msimbazi juu ya Mchezaji Chama, CEO Gonzalez na Hanspoppe wako je, unalijua?
Pumbavu!