Simba SC 'mdhibitini' upesi sana Zackaria Hanspope na huu 'Uzushi' wake hukusu akina Chama, Miquissone na Bwalya atatuharibia

Simba SC 'mdhibitini' upesi sana Zackaria Hanspope na huu 'Uzushi' wake hukusu akina Chama, Miquissone na Bwalya atatuharibia

Nimesikitika sana kama siyo mno Kumsikia leo mchana kupitia Kipindi cha Michezo cha Clouds FM Jumapili Mchana 'akiwashutumu' wazi wazi Wachezaji akina Clatous Chama, Luis Miquisonne na Larry Bwalwa kuwa Jana walicheza chini ya Kiwango na kwamba wanatakiwa 'Wahojiwe' kwani kuna uwezekano 'Wameihujumu' Klabu kwa 'Kuhongwa' na Yanga SC.

Nilikuwa sijui kuwa kumbe Mzee Hanspoppe ni 'mtupu' hivi Kichwani kwani ameshindwa tu kujua kuwa jana Chama amecheza akiwa na Majeraha ya Mechi ya Kagera Sugar, Luis Miquissone ndiyo aliyepiga Kona iliyozaa Goli lililotuokoa na 'Aibu' na Larry Bwalya jana ilikuwa ndiyo 'Derby' yake ya Kwanza hapa Tanzania.

Simba SC henu mfungeni 'Speed Governor' ya Mdomo huyu Hanspoppe kwani siyo 'Siri' ni 'Mvurugaji' na atatuharibia Klabu yetu. Amenikera sana.
Popoma fc.
 
Umesema nina 'Chembechembe' za 'Ushoga' halafu hapo hapo tena unajitapa ( unajimwambafai ) kabisa kuwa Wewe ni 'Baharia' wakati Wenzako Watoto wa 'Down Town' tunajua ukijiita 'Baharia' tayari umeshajitanabaisha na kujihalalisha kuwa Wewe ni 'Shoga Mwandamizi' hivyo ulichokifanya hapa ni 'Kututhibitishia' tu hivyo nakupa 'Hongera' mno.

Kuhusu Mimi kuwa sijui 'Much Know' wala hujakosea na labda nikuambie tu kuwa ninajua mambo mengi na vitu vingi na wala sitoacha kuwa 'Much Know' hivi kama nikiwa 'Hai' na nikiendelea kuwa 'JamiiForums Member' sawa? Hivi kama Mimi napenda sana kuwa 'Rich in Knowledge' tena 24/7 kwa kupenda Kusoma, Kusikiliza na Kutizama Habari, Kujichanganya na Watu tena Authoritative, Credible and Reliable huku nikiwa Mtu wa 'Jamii' na 'Exposure' ya 'Wastani' niliyonayo ya maeneo mbalimbali hapa Duniani GENTAMYCINE nitaacha kuwa 'Mjuvi' wa Kutukuka?

Kuhusu Mimi kushinda Msimbazi wala hujakosea nashinda kweli kwakuwa Mimi ni mwana Simba SC wa ndani kabisa na huwa najitoa 'Mhanga' ishinde. Na mwisho kabisa ili nikuonyeshe kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine na ukijifanya Wewe ni Simba SC na huyo Pimbi na Basha wako Hanspoppe ( Mipama ) kuna Jambo limetokea leo Msimbazi juu ya Mchezaji Chama, CEO Gonzalez na Hanspoppe wako je, unalijua?

Pumbavu!
Huna ulijualo wewe popoma, ungejua lolote lililotokea kuhusu hao watu ungeshakimbilia kuanzisha thread humu bila hata utafiti, unavyokuwaga na kiherehere kama una tumbo la kuharisha, wadanganye mapimbi wenzio mliokuja town na maroli ya ndizi,


Mimi ni dungadunga kaa mbali kabisa,
 
Huna ulijualo wewe popoma, ungejua lolote lililotokea kuhusu hao watu ungeshakimbilia kuanzisha thread humu bila hata utafiti, unavyokuwaga na kiherehere kama una tumbo la kuharisha, wadanganye mapimbi wenzio mliokuja town na maroli ya ndizi,


Mimi ni dungadunga kaa mbali kabisa,
Kinachowatesa juu ni kwamba GENTAMYCINE ni 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' na ninamshukuru sana Mungu.
 
Back
Top Bottom