Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Mashabiki uchwara watakua wanakuchukia sanaJapo Mimi ni mwana Simba SC na Wewe ni Mwana Yanga SC ila hapa Mkuu umeandika ukweli mtupu na nitamshangaa Mtu wa Simba SC akipinga.
Yaani wewe unakereka kuliko Hans anayetoa fedha zake?! Duh vituko haviwezi kuishaNimesikitika sana kama siyo mno Kumsikia leo mchana kupitia Kipindi cha Michezo cha Clouds FM Jumapili Mchana 'akiwashutumu' wazi wazi Wachezaji akina Clatous Chama, Luis Miquisonne na Larry Bwalwa kuwa Jana walicheza chini ya Kiwango na kwamba wanatakiwa 'Wahojiwe' kwani kuna uwezekano 'Wameihujumu' Klabu kwa 'Kuhongwa' na Yanga SC.
Nilikuwa sijui kuwa kumbe Mzee Hanspoppe ni 'mtupu' hivi Kichwani kwani ameshindwa tu kujua kuwa jana Chama amecheza akiwa na Majeraha ya Mechi ya Kagera Sugar, Luis Miquissone ndiyo aliyepiga Kona iliyozaa Goli lililotuokoa na 'Aibu' na Larry Bwalya jana ilikuwa ndiyo 'Derby' yake ya Kwanza hapa Tanzania.
Simba SC henu mfungeni 'Speed Governor' ya Mdomo huyu Hanspoppe kwani siyo 'Siri' ni 'Mvurugaji' na atatuharibia Klabu yetu. Amenikera sana.
Ulishasahau kama uligongwa 4 na huyu chama akisumbua vilivyoanalalamika bure,mechi ipi ya yanga chama amewahi onekana. huyu anatamba kwenye vitimu vidogo.
hao wengine mtatafuta sababu tu mara ndo derby ya kwanza kwani T.K,Mukoko, sarpong ni ya ngapi kwao hao wenu ni uwezo mdg wa mechi za kibwege bwege
yanga ahongi anakukimbiza kibabe sio kama mlivyo muhonga morrison mkashinda kibwege jana babu onyango anakamata miguu mnakataa sio penati mbumbumbu bwana
'Pimbi' mkubwa Wewe huyo 'Basha' wako anatoa Pesa zake wapi? Ndiyo huwa anakudanganya ukiwa nae Kitandani 'anakugeuzageuza' kama 'Chapati' za Maji? Tena usitake 'Kunitibua' na nikakutolea 'Siri' zake 'Kibao' tu za 'Madhaifu' yake ambazo huwa nazipata mara kwa mara kutokea kwa Watu wake wa karibu kabisa pale katika 'Baa' yake ya 'Silver Pipe' Kawe Avacado mkabala ya Triple Seven Hotel sawa? Tena kaa Kimya!Yaani wewe unakereka kuliko Hans anayetoa fedha zake?! Duh vituko haviwezi kuisha
Sasa kama nyie ni wazuri na 'mlijiamini' kwanini 'hamkutufunga' Sisi 'Simba' na sasa kila Mwana Yanga SC anasema tu Simba SC tumepona Kipigo?Mna bahati sana!
Chama ndio MVP wa msimu uliopita (kuwa na kumbukumbu)analalamika bure,mechi ipi ya yanga chama amewahi onekana. huyu anatamba kwenye vitimu vidogo.
hao wengine mtatafuta sababu tu mara ndo derby ya kwanza kwani T.K,Mukoko, sarpong ni ya ngapi kwao hao wenu ni uwezo mdg wa mechi za kibwege bwege
yanga ahongi anakukimbiza kibabe sio kama mlivyo muhonga morrison mkashinda kibwege jana babu onyango anakamata miguu mnakataa sio penati mbumbumbu bwana
Wenye bahati ni waliopaki basi wakabaki kuviziaMna bahati sana!
Nina miaka kama 25 tangu nimeangalia game kati ya timu hizi 2 (iwe live uwanjani ama kwenye runinga). Jana nimeangalia runingani nimekuwa extremely disappointed na sitakuja kurudia tena kupoteza time yangu kuangali hii game.
Kwa kelele ninazoziona na kuzisikia kwenye media kuhusu vilabu hivi siku hizi nilidhani zinapiga mpira fulani babu kubwa.... lakini jana nime confirm kwamba hivi vilabu 2 ni kama roho fulani ya kishetani imewaingia watu kuvishabikia blindly kama misukule.
Ndiyo mpira gani ule?
huyu chama anatamba mechi ndogo rejea mechi za nyuma na yanga ipi amewahi tamba.Chama ndio MVP wa msimu uliopita (kuwa na kumbukumbu)
Mpaka hivi sasa hakuna mchezaji yeyote pale Yanga anamzidi kitakwimu Chama msimu huu. (2 goal + 5 assist)
Kuwa na adabu
nakumbuka mkuu ile mechi mliyo muhonga morison akacheza chini ya kiwango baada ya kuwapiga mechi ya awali.Ulishasahau kama uligongwa 4 na huyu chama akisumbua vilivyo
Mmetoa droo mshaanza kufarakana. Tungewapiga ingekuwaje?
Boss kumbuka unabishana na UtopoloMmetoka sare na nani?
Refa kaifunga Simba then Simba ikaifunga Yanga, droo inatokea wapi?
Timu ndogo kama Azam au As Vita?huyu chama anatamba mechi ndogo rejea mechi za nyuma na yanga ipi amewahi tamba.
ile ya 4 ambayo hongo zilitembea ama ipi asa azam ni timu kubwaTimu ndogo kama Azam au As Vita?
4G chama aliwafanyaje?
Triple C ni mchezaji bora.. toa kelele zako za kuhongwa hapa.ile ya 4 ambayo hongo zilitembea ama ipi asa azam ni timu kubwa
Huyo refa aliyeifunga Simba ni wangapi hapo kwenye msimamo?Mmetoka sare na nani?
Refa kaifunga Simba then Simba ikaifunga Yanga, droo inatokea wapi?
Wapumbavu Sana hawa Mikia ya mbwaanalalamika bure,mechi ipi ya yanga chama amewahi onekana. huyu anatamba kwenye vitimu vidogo.
hao wengine mtatafuta sababu tu mara ndo derby ya kwanza kwani T.K,Mukoko, sarpong ni ya ngapi kwao hao wenu ni uwezo mdg wa mechi za kibwege bwege
yanga ahongi anakukimbiza kibabe sio kama mlivyo muhonga morrison mkashinda kibwege jana babu onyango anakamata miguu mnakataa sio penati mbumbumbu bwana