Simba SC 'mdhibitini' upesi sana Zackaria Hanspope na huu 'Uzushi' wake hukusu akina Chama, Miquissone na Bwalya atatuharibia

nakumbuka mkuu ile mechi mliyo muhonga morison akacheza chini ya kiwango baada ya kuwapiga mechi ya awali.
Kwahiyo kucheza chini ya kiwango kwa Morrison kunahusiana vipi na kiwango cha dr chama? [emoji23] [emoji23] Au Morrison alikuwa DM?
 
Zuchu katika ubora wako, najua hiki kipaji cha kuchamba umerithi kwa mama yako Malkia wa Mipasho Khadija Kopa,
[emoji1787] [emoji1787]

Acha ushamba

Mwanaume haongei sana, unaidhalilisha jinsia kihande wewe,
Unajifanya una uchungu na timu ukute hata kadi ya upenzi tu huna nini ya uanachama[emoji15][emoji15]
Acha ushamba

Uache kudanganya watu kima wewe,
Mimi simtetei huyo Hans Pope kwa alilolifanya ila wewe kujifanya una uchungu sana kuliko waliopo ndani ya timu, kabla ya dewji hii timu ilikuwa inaendeshwa na nani? Kama sio hao FoS, hata kama waliiba, kuna asiyepiga nchi hii,

Acha ushamba,

kutaja bar yake iliyopo avocado ndio tutaamini unamjua sana, au wewe mchepuko wake! Au mkewe?
Hasira zako za chumbani na mipama usituletee huku, kama amekukopa malizana nae hukohuko

Acha ushamba....
 
huyu mzee ameisha zeeka, na tena amezeeka vibaya, hivyo ni bora akaacha kabisa kutuumia ule 'mmea' akae alee wajukuu zake vizuri na huo mmea atuaachie vijana, huu ni ushauri wangu wa bure kwake najua huwa anapita pita humu…..
 
Pope anafikiri wale sio binadamu..

Sio kila mechi watacheza poa, sometime mambo yanagoma.. Asilete kitambi kwenye soka
Kabisa yan, muda mwingine mtu anaweza kuwa physical fit ila akawa hayupo ktk fomu nzuri, mzee anazingua
 
Kweli kabisa, yaan walivohonga kina morrison yo dan abdul wakatupiga 4 wakadhan kweli wana uwezo wa kuifunga yanga
 
Hans pope na wenzake walitaka kumpindua Nyerere wamekaa Ukonga miaka kumi hadi Mwinyi alivyowatoa..atakuwa kichaa jela sio mchezo
 
Ule ni mpira biriani!
Siku hizi Simba na Yanga zimeacha kucheza mpira uwanjani, zimebakia maneno matupu.
 
Haujui mpira wewe umeshawahi ona wapi derby ina ufundi
 
Huyu Hanspoppe amezoea kumwona Chama akicheza ba timu kama Ihefu Mwadui hapo anaonyesha ufundi mwingi chukua mtu kama Tonombe akiwa pale Chama atapitia wapi halafu anasema simba haiwezi kufungwa na timu yoyote ameisahau Prison na Ruvu shooting huyu Hans amezoea fujo
 
Wanaojua hawana hasira.
Hilo jina mbumbumbu linakufaa sana wewe mwenyewe kwa kuwa unajisifu na timu ya vijana iliyofungwa na babu!

Najua una hasira na goli la kibabe la babu
 
Umesema nina 'Chembechembe' za 'Ushoga' halafu hapo hapo tena unajitapa ( unajimwambafai ) kabisa kuwa Wewe ni 'Baharia' wakati Wenzako Watoto wa 'Down Town' tunajua ukijiita 'Baharia' tayari umeshajitanabaisha na kujihalalisha kuwa Wewe ni 'Shoga Mwandamizi' hivyo ulichokifanya hapa ni 'Kututhibitishia' tu hivyo nakupa 'Hongera' mno.

Kuhusu Mimi kuwa sijui 'Much Know' wala hujakosea na labda nikuambie tu kuwa ninajua mambo mengi na vitu vingi na wala sitoacha kuwa 'Much Know' hivi kama nikiwa 'Hai' na nikiendelea kuwa 'JamiiForums Member' sawa? Hivi kama Mimi napenda sana kuwa 'Rich in Knowledge' tena 24/7 kwa kupenda Kusoma, Kusikiliza na Kutizama Habari, Kujichanganya na Watu tena Authoritative, Credible and Reliable huku nikiwa Mtu wa 'Jamii' na 'Exposure' ya 'Wastani' niliyonayo ya maeneo mbalimbali hapa Duniani GENTAMYCINE nitaacha kuwa 'Mjuvi' wa Kutukuka?

Kuhusu Mimi kushinda Msimbazi wala hujakosea nashinda kweli kwakuwa Mimi ni mwana Simba SC wa ndani kabisa na huwa najitoa 'Mhanga' ishinde. Na mwisho kabisa ili nikuonyeshe kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine na ukijifanya Wewe ni Simba SC na huyo Pimbi na Basha wako Hanspoppe ( Mipama ) kuna Jambo limetokea leo Msimbazi juu ya Mchezaji Chama, CEO Gonzalez na Hanspoppe wako je, unalijua?

Pumbavu!
 
Kuna uwezekano ni yeye ndiye aliyekula mlungula wa kuhakikisha Chama na Bwalya wanaenda kule!

Huyu Muhehe sio wa kuamini sana! Muhuni tu sema uzee ndio unaongopea.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…