GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Klabu ya Simba imemrejesha kikosini Patrick Rweyemamu kuendelea na majukumu yake ya kuwa meneja wa timu hiyo.
Rweyemamu amerejeshwa katika majukumu hayo baada ya msimu uliopita kuondolewa kwenye nafasi hiyo na kuwa Mkuu wa Programu za Soka la Vijana klabuni hapo.
Kurejea kwake anachukua nafasi ya Mikael Igendia raia wa Kenya ambaye alikuwa Meneja wa Simba na Mkuu wa Sayansi ya Michezo. Kumbuka Igendia wakati anatambulishwa ndani ya Simba, alichukua nafasi ya Rweyemamu.
Baada ya kurejeshwa katika nafasi hiyo, Rweyemamu anatarajia kusafiri leo mchana kutoka Dar es Salaam kuelekea Ismailia nchini Misri kwa ajili ya kujiunga na kambi ya Simba iliyopo huko tangu Julai 8 mwaka huu.
Chanzo: mwanaspoti_tz
Hivi ( kwa Sisi Watu wa Mpira wa Bongo ) kuna ambaye hajui kuwa Wachezaji wa Simba SC akina Chama na Mkude pamoja na Wengineo walikuwa wakimpa Rushwa wakiwa Kambini na Usiku wanatoroka kwenda Kula Bata na kununua Malaya Juliana na Beach Kidimbwi hadi mmoja akaibiwa Simu yake na Masela?
Hivi ( kwa Sisi Watu wa Mpira wa Bongo ) kuna ambaye hajui kuwa Rweymamu na Matola ni Marafiki wakubwa na ni Vinara wa Kugawa Wachezaji, kupiga Majungu, kugombanisha Benchi la Ufundi na kupenda Rushwa ( 10% ) kutoka kwa Wachezaji ili wamshawishi Kocha awape namba?
au mnadhani akina GENTAMYCINE hatujui kuwa Makocha wote waliopita Simba SC wakati Rweymamu akiwa Meneja walimlalamikia sana kwa tabia yake ya kupenda kuwa karibu kupitiliza na Wachezaji huku wengine hadi Akiwakuwadia Mishangingi ili ajipatie 10% yake na kuwadharau Makocha Wakuu?
Hii taarifa imenisikitisha sana tu na kwa mbali sasa naweza kuona tena Yanga SC ikiendeleza Ufalme wake nchini TZ.