Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

Semaji la dunia lilosomea CUBA likavishwa nishani pale Lumumba University mjini St.Petersbug 🤣🤣
 
Simbwa bana Sasa wasimjibu wakati wote Wana haiba ya kusutana ..kuanzia boss mpaka bossingwa demu wake
 
Miaka 6 bila mkataba? Kulazwa kwenye makochi ughaibuni? Serikali wanapaswa kumulika hivi vilabu. Hawa gabachoris wanatunyanyasia raia wenzetu ndani ya Nchi yetu

Japo nilikuwa sifagilii matendo na maneno ya kuudhi ya Haji, hapa kuna namna na lazima mbivu & mbichi zijulikane
 
Kama huwezi hata kuandika jina la manara,unaandika manala,we utakuwa zezeta sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa,nimetonywa anajibiwa kesho

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Miaka 6 bila mkataba, kalala kwenye makoshi bla bla bla..

Bado tiketi za ndege alikuwa akinunua mwenyewe na leo kwenye press kaenda na mabaunsa watatu! Hela zinatoka wapi? Yule kapiga hela sana ila kama kawaida yake ku play victim!
 
NJAA ndugu yangu mbaya sn isikia tu unaweza fanya lolote lile.

WAARABU (GSM ,AZAM ,ASAS)wanamtumia HAJI bila yeye kujua mwisho wa SIKU yeye ndiye atakuwa loozer

Ndugu hujui hii mikiki mikiki yote ni sababu ya ushindani KIBIASHARA lkn lililopo hapa kubwa ni SIFA ndio zinahitajika zaidi
Hujui WAARABU wanavyo penda sifa ........sasa wanaona JINA LA MO na (MHINDI) LINAWEZA Dominate kwenye sehemu kubwa ya AFRICA kama SIMBA itafika mbali kwenye Michuano ya Kimataifa.

Sema watu wengi hawaja usoma mchezo wote.
 
Yaani manara anataka atajwe yeye kwenye nyimbo ya Simba kama nani? Ona sasa kilichotokea kama angekua anatajwa yeye kwenye right za Simba ingekueje
huyu jamaa ni punguani. yaani anaanika siri za ofisi halafu kesho anategemea kufanya biashara na watu, yaani mtu awe tayari kufanya biashara na mtu mropokaji asiye na siri. halafu kesho anategemea aingie kwenye siasa zenye siri lukuki za chama. akili ama mavi yamejaa kichwani
 
na haya ndio majibu ya kwa nini coverage imefanywa na Azam Tv.
 
Miaka 6 bila mkataba, kalala kwenye makoshi bla bla bla..

Bado tiketi za ndege alikuwa akinunua mwenyewe na leo kwenye press kaenda na mabaunsa watatu! Hela zinatoka wapi? Yule kapiga hela sana ila kama kawaida yake ku play victim!
kama vile sisi tulimtuma kufanya kazi bila mkataba. ujinga mtupu. kama mwajiri hakupi mkataba si unasepa kiroho safi unatafuta kazi nyingine.
 
Halafu ni kwa nini yeye ndio awasemee hao tisa waliofukuzwa kupitia Barbra? Wao hawana midomo? Watu tisa wapo kimya yeye ndio awasemee...upuuzi mtupu!
Walah walah kibao tumepita huko tunataka mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…