Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

Hapana tuwe wakweli manara kavumilia mengi sana na hoja zake simba hakuna wakujibu
 
Mi ni Simba ila manara yupo sahihi 100% mo aweke wazi Simba imeingiza kiasi gani kwa hio miaka 4 na manara alichokuwa anakitetea ni image rights zake wengi msiojua soka mtamponda ila mo ni mswahili sana ndo maana walimteka
Unahudhuria mkutano mkuu wa club?
 

Kwani wewe unawajua real Udentity za wanaochangia hapa? Je kama ndiyo hao hao viongozi wa Simba.
 
1.Ni deni una uhakika? Au ndio unamchukia, bila ushahidi?
2. Wewe unaelewa afu huna cha kusema?
3. Mkataba wa simba na Metl mbona umesainiwa hadharani, hukuona hili?
 
Nimemtaja Dewji kwenye nilichosema hapo?
 
Ila wahindi wanyonyaji sana mil 3 asijisaidie hta chamazi au yanga
 
Kakulia kariakoo ana uswahili mwingi alafu anafaa kuwa makanga stendi.
 
Sasa mtu akipata faida kuna shida gani?
 
Manara yuko sahihi, MO sio mara ya kwanza kulalamikiwa na wafanya kazi wake kuwa ana nyanyasa wafanyakazi, team kubwa kama hii itawezaje msemaji wake afanye kazi bila mkataba kwa miaka7? , msemaji wa team asafiri na team kwenda nje kwa gharama zake mwenye hili ni sahihi? huku ni kumnyanyasa , hii tabia sio nzuri nsdhani simba waliangalie vizuri na apewe stahiki sake.
 
Ametumwa kuharibu focus na concentration ya usajili wetu makini. Ignore him completely. Tuko kwenye usajili na maandalizi ya msimu mpya.

Kaongea story za zamaaniiii za nini sasa, awape haohao mabingwa wa kihistoria ndo wanapendaga hizo mambo.
Yani kama unaamini Manara ametumwa basi kazi ipo.Alivyokuwa anaropoka hovyo wakati yupo Simba alikuwa anatumwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…