MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.
Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.