Simba SC msiwazuge Mashabiki wala kuona Aibu. Mpelekeni Bernard Morisson kwa Wazee wa Yanga SC awaombe Msamaha afunguliwe

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.

Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
 
Kama unaamini hivyo basi hao wazee wa Yanga wangeamua timu yao ichukue makombe yote ambayo yanga itashiriki kila mwaka! Usiamini hao wazee na usiamini katika ushirikina, kumbuka sumaku haiwezi nasa kwenye ubao.
 
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.

Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
Acha ujinga wewe...
 
Kama unaamini hivyo basi hao wazee wa Yanga wangeamua timu yao ichukue makombe yote ambayo yanga itashiriki kila mwaka!,usiamini hao wazee na usiamini katika ushirikina,kumbuka sumaku haiwezi nasa kwenye ubao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: PHR
Huyo mzee anamroga mtoto wa watu kwa kosa gani alilomfanyia personally?
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.

Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
 
Shida yetu ndiyo iko hapa unasajili mchezaji wa bilioni moja halafua akiafika wanamuroga ujinga wa kiwango cha juu
 
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.

Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]umeyajuaje hayo mkuu??
 
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.

Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.

Mwambieni huyo mzee amtengeneze Sarpong, awe kama Cr7!
 
Kwanini asiroge Yanga ichukue Ubingwa wa Afrika?

Once Utopolo always Chura
 
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.

Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
Wangeanza kuroga wapate kombe la Premier kwanza kama kweli wanajua kuroga...acheni kuwa na mawazo ya kijima
 
Back
Top Bottom