MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Acha ujinga wewe...Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.
Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama unaamini hivyo basi hao wazee wa Yanga wangeamua timu yao ichukue makombe yote ambayo yanga itashiriki kila mwaka!,usiamini hao wazee na usiamini katika ushirikina,kumbuka sumaku haiwezi nasa kwenye ubao.
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.
Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]umeyajuaje hayo mkuu??Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.
Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.
Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
Mwambieni huyo mzee amtengeneze Sarpong, awe kama Cr7!
Wenye Kunielewa mnielewe na wale msiotaka kuamini hiki nilichokileta hapa endeleeni kuamini hivyo ila Bernard Morisson Karogwa vibaya sana.Acha ujinga wewe...
Wangeanza kuroga wapate kombe la Premier kwanza kama kweli wanajua kuroga...acheni kuwa na mawazo ya kijimaNajua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.
Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
Uwezo wao ni kuharibu tu na siyo kutengeneza na hiyo ndiyo kazi ya ibilisi.Kama unaamini hivyo basi hao wazee wa Yanga wangeamua timu yao ichukue makombe yote ambayo yanga itashiriki kila mwaka!,usiamini hao wazee na usiamini katika ushirikina,kumbuka sumaku haiwezi nasa kwenye ubao.
Hakuweka kilainishi?Haka ka Morrison hata mimi ningelikuwa na dawa ningekaroga tu yaani aliniumiza vibaya mno
Wahuni sio watu wazuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu yangu umepata wapi nguvu ya kuandika cc@mahondaw [emoji23][emoji23][emoji23]
Wahuni sio watu wazuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahaha Genta sio!!!Ni yeye..