Walitegemea watapata kitonga mteremko aiseeDk 80 tu Madera FC walishaanza kuondoka uwanjani.... Shabaaaaaaaaash,
Wapigaji hao, hapo wameshatakatisha pesa na kuwazuga mashabikiMwaka huu bilion 1.3 zitawatokea puani..
Ndio washamuonja hivyo! Naamini hawamuacha salama!Na alisema anataka kumaliza Mzunguko wa kwanza bila kuruhusu bao hata moja langoni.ππ
Lile bao la watoto wanne pacha he he he he he mezani fc bhana dohHa ha ha! Mbona hao jamaa wepesi sana! Aishi kapigwa bao la mita sijui ngapi zile! Na bado..........shubamitii
Lile ni jigoliNimesikia kuna mchezaji wa Mbao kufunga goli lisilojulikana,wapimaji wanasema eti mita alizopigia pia hazijulikani