Simba SC ndio wameshaanza Ligi

Simba SC ndio wameshaanza Ligi

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Simba SC wameanza Ligi rasmi, yale matokeo dhidi ya kikosi cha pili cha JKT ruvu yasikupe taswira ya namna mechi zao zote za ligikuu zinaenda kuwa. Pia achana na yale matokeo ya pale kapetini jijini Dar.

Kwa kawaida Ligi yao halisi inachezwa mikoani.

Wanajangwani tunakuja mdogo-mdogo kwenye nafasi yetu.

FT: Mbao FC 2 - 2 BilionMojaPointTatu
 
Mbona unga fc walishinda kwa majimaji mmesahau yenu mnainglia yasiyowahus dushwaaaaà
 
Ha ha ha! Mbona hao jamaa wepesi sana! Aishi kapigwa bao la mita sijui ngapi zile! Na bado..........shubamitii
 
Ha ha ha! Mbona hao jamaa wepesi sana! Aishi kapigwa bao la mita sijui ngapi zile! Na bado..........shubamitii

Na alisema anataka kumaliza Mzunguko wa kwanza bila kuruhusu bao hata moja langoni.😀😀
 
Ha ha ha! Mbona hao jamaa wepesi sana! Aishi kapigwa bao la mita sijui ngapi zile! Na bado..........shubamitii
Lile bao la watoto wanne pacha he he he he he mezani fc bhana doh
 
Jaman wanasimba ebu mkuje huku mtetee bilion zenu za pesa ....manula leo kapewa kubwa kuliko
 
Back
Top Bottom