Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbao wamemkazia swahiba wao leo [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mikia FC wameanza Ligi rasmi, yale matokeo dhidi ya kikosi cha pili cha JKT ruvu yasikupe taswira ya namna mechi zao zote za ligikuu zinaenda kuwa. Pia achana na yale matokeo ya pale kapetini jijini Dar.
Kwa kawaida Ligi yao halisi inachezwa mikoani.
Wanajangwani tunakuja mdogo-mdogo kwenye nafasi yetu.
FT: Mbao FC 2 - 2 BilionMojaPointTatu
Kesho uwe unatupa updates za mechiKama nani anakimbia...?
Mkuu uwanja mbovu ule Okwi kazoea kapeti. Subiri turudi Dar![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahha ni sawaUkiona simba kamfunga Mbao FC ujue kamuotea....
Ha haaa....Mikia FC.Lile goli la mbao unaweza kwenda kuombea mkopo bank mbonge wa goli!!
Ha haaaa..Kila shuti Manula alikuwa anaona Mbao badala ya mpira
Halafu nimemwona Niyonzima alivyokuwa anahojiwa ITV badala ya kusema Simba kasema Yanga. Du nimeamini Mbao ni kiboko unaweza kusema mma badala ya maji. Niyonzima kajisahau kuwa yuko Simba kwa kipigo cha Mbao au ndio bado ana mapenzi na Yanga? Ha ha ha!!!Mwenzake Msuva alikuwa hana shida ya Kapeti au uwanja mmbovu....ndio maana alikuwa anatupia sana Mikoani..
Simba bingwa wakati anaeongoza mtibwa?Simba bado ni timu bora kuliko zote tz. Kelele zote hz ni kutokana na ubora wa timu ya simba. Ni wazi hata yanga mlishangilia droo na simba iweje mbao wasishangilie.
Bado naamini simba ndiyo bingwa.
Kwa hiyo Jana ndo iliisha ligi.Simba bingwa wakati anaeongoza mtibwa?
Bora unyimwe vyote lakini siyo imani. Mwaka wa ngapi huu mnaamini ubingwa ni wenu. Mbaya zaidi mwaka huu, kuna Singida United!Simba bado ni timu bora kuliko zote tz. Kelele zote hz ni kutokana na ubora wa timu ya simba. Ni wazi hata yanga mlishangilia droo na simba iweje mbao wasishangilie.
Bado naamini simba ndiyo bingwa.
Watamzulia zengwe sasa hivi. Kuitaja Yanga akiwa Simba!Halafu nimemwona Niyonzima alivyokuwa anahojiwa ITV badala ya kusema Simba kasema Yanga. Du nimeamini Mbao ni kiboko unaweza kusema mma badala ya maji. Niyonzima kajisahau kuwa yuko Simba kwa kipigo cha Mbao au ndio bado ana mapenzi na Yanga? Ha ha ha!!!