Simba SC ndio wameshaanza Ligi

Simba SC ndio wameshaanza Ligi

Manura kajitetea anasema wakati anaruka alihisi kitu kizito kinaingia ikabidi atulie na hatimae likawa bao la pili

Aliona Mbao inakuja, kile kitendo cha kuwaza tu nyavu zake zimetikiswa. lol
 
Mikia FC wameanza Ligi rasmi, yale matokeo dhidi ya kikosi cha pili cha JKT ruvu yasikupe taswira ya namna mechi zao zote za ligikuu zinaenda kuwa. Pia achana na yale matokeo ya pale kapetini jijini Dar.

Kwa kawaida Ligi yao halisi inachezwa mikoani.

Wanajangwani tunakuja mdogo-mdogo kwenye nafasi yetu.

FT: Mbao FC 2 - 2 BilionMojaPointTatu
Mbao wamemkazia swahiba wao leo [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mkuu uwanja mbovu ule Okwi kazoea kapeti. Subiri turudi Dar![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwenzake Msuva alikuwa hana shida ya Kapeti au uwanja mmbovu....ndio maana alikuwa anatupia sana Mikoani..
 
Simba bado ni timu bora kuliko zote tz. Kelele zote hz ni kutokana na ubora wa timu ya simba. Ni wazi hata yanga mlishangilia droo na simba iweje mbao wasishangilie.
Bado naamini simba ndiyo bingwa.
 
Mwenzake Msuva alikuwa hana shida ya Kapeti au uwanja mmbovu....ndio maana alikuwa anatupia sana Mikoani..
Halafu nimemwona Niyonzima alivyokuwa anahojiwa ITV badala ya kusema Simba kasema Yanga. Du nimeamini Mbao ni kiboko unaweza kusema mma badala ya maji. Niyonzima kajisahau kuwa yuko Simba kwa kipigo cha Mbao au ndio bado ana mapenzi na Yanga? Ha ha ha!!!
 
Simba bado ni timu bora kuliko zote tz. Kelele zote hz ni kutokana na ubora wa timu ya simba. Ni wazi hata yanga mlishangilia droo na simba iweje mbao wasishangilie.
Bado naamini simba ndiyo bingwa.
Simba bingwa wakati anaeongoza mtibwa?
 
Simba bado ni timu bora kuliko zote tz. Kelele zote hz ni kutokana na ubora wa timu ya simba. Ni wazi hata yanga mlishangilia droo na simba iweje mbao wasishangilie.
Bado naamini simba ndiyo bingwa.
Bora unyimwe vyote lakini siyo imani. Mwaka wa ngapi huu mnaamini ubingwa ni wenu. Mbaya zaidi mwaka huu, kuna Singida United!
 
Halafu nimemwona Niyonzima alivyokuwa anahojiwa ITV badala ya kusema Simba kasema Yanga. Du nimeamini Mbao ni kiboko unaweza kusema mma badala ya maji. Niyonzima kajisahau kuwa yuko Simba kwa kipigo cha Mbao au ndio bado ana mapenzi na Yanga? Ha ha ha!!!
Watamzulia zengwe sasa hivi. Kuitaja Yanga akiwa Simba!
 
Back
Top Bottom