Simba SC ni lini mtatoa tamko lenu kali dhidi ya Utangazaji wa Chuki na Kiuchochezi wa Maulid Kitenge na Wasafi FM yake?

Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC.

Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona kabisa kuwa huwa anafanya Makusudi na Kudhamiria Kuichokonoa na Kutangaza Habari hasi (mbaya) kuihusu Klabu ya Simba.

Kwa mfano kwa Sisi Watu wa Michezo na wengine tuna bahati Kubwa ya kuwa na Marafiki Yanga SC, Azam FC, Simba SC, Namungo FC na hadi Mtibwa FC hivyo tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana (Kuumizana) ila Mtangazaji Kitenge hayagusii.

Siishabikii Simba SC wala Yanga SC ila nadhani sasa imefikia muda Uongozi wa Simba SC utoe tamko lake Kali/ Zito Kwake Maulid Baraka Kitenge.
Mbona kama wewe ndo una roho mbaya kwa yanga umeandika umbea mbea tu. Mara calihnyo sijui mukoko ulienda kupiga chabo wapi ukaona wanarogana. Haya na kitenge kaleta umbea gani?
 
Wasafi sio yake semea kitenge kama kitenge, akitimuliwa mwingine anafanya kazi ile ni tasisi ya mtu kajiliwa nae pale,

Yule ni [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] koo lazima uteseke kutoka mapinduz cup
 
Wewe Genta na utelembwe wenzio mnawashwa sana .
Nyie media house zote mnadai zinawasemea mbovu nyie tu?

Mnataka nini sijui upuuzi..
 
Simba ndio habari kubwa ya michezo hapa nchini kwa sasa, kila mmoja ataiongelea kwa namna anavyoiona yeye.
 
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC.

Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona kabisa kuwa huwa anafanya Makusudi na Kudhamiria Kuichokonoa na Kutangaza Habari hasi (mbaya) kuihusu Klabu ya Simba.

Kwa mfano kwa Sisi Watu wa Michezo na wengine tuna bahati Kubwa ya kuwa na Marafiki Yanga SC, Azam FC, Simba SC, Namungo FC na hadi Mtibwa FC hivyo tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana (Kuumizana) ila Mtangazaji Kitenge hayagusii.

Siishabikii Simba SC wala Yanga SC ila nadhani sasa imefikia muda Uongozi wa Simba SC utoe tamko lake Kali/ Zito Kwake Maulid Baraka Kitenge.
Umeongea madini.
Kwanza kitenge asidhani tunawachukia Yanga kama anavyofikiri mpumbafu huyo sisi ushabiki kwetu ni burudani.
Mafanikio ya timu yoyote Tanzania kimataifa yana faida kubwa kwetu sote kama watz.

Naunga mkono atolewe tamko kali.
 
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC.

Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona kabisa kuwa huwa anafanya Makusudi na Kudhamiria Kuichokonoa na Kutangaza Habari hasi (mbaya) kuihusu Klabu ya Simba.

Kwa mfano kwa Sisi Watu wa Michezo na wengine tuna bahati Kubwa ya kuwa na Marafiki Yanga SC, Azam FC, Simba SC, Namungo FC na hadi Mtibwa FC hivyo tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana (Kuumizana) ila Mtangazaji Kitenge hayagusii.

Siishabikii Simba SC wala Yanga SC ila nadhani sasa imefikia muda Uongozi wa Simba SC utoe tamko lake Kali/ Zito Kwake Maulid Baraka Kitenge.
Mpuuzi tu huyo. Mwanaume akishakua na kidoti kisha hana kisogo jua anapumuliwa kwenye flat kisogo chake
 
Mashabiki wengi wa mbumbumbu fc nba shida Sana. Hakuna mwezi unaweza kukata Mabara Hajaenda Wasafi. Hata mkuu wa bodi nae Lila siku anashinda Wasafi. Kazi za Simba zinafanyiwa promo kubwa Wasafi. Sasa ninyi mnajifanya mna akili kuliko uongozi wenu?
Kila siku Magori anasikiliza Wasafi , na kufanya baadhi ya mambo ya klabu yenu.
Acha CHUKI za kijinga utapumuliwa dogo
 
Mashabiki wengi wa mbumbumbu fc nba shida Sana. Hakuna mwezi unaweza kukata Mabara Hajaenda Wasafi. Hata mkuu wa bodi nae Lila siku anashinda Wasafi. Kazi za Simba zinafanyiwa promo kubwa Wasafi. Sasa ninyi mnajifanya mna akili kuliko uongozi wenu?
Kila siku Magori anasikiliza Wasafi , na kufanya baadhi ya mambo ya klabu yenu.
Acha CHUKI za kijinga UTAPUMULIWA DOGO
Kwani wewe umeacha kuinamishwa? Itakua ajabu mchawi kuacha kuroga.
 
Back
Top Bottom