Simba SC ni matumaini yangu mmejiandaa vilivyo kuhusu Sakata la Yanga SC na Mchezaji Morisson kwani naona limekaa vibaya Kwetu huko CAS

Kusema Kuna lolote linaweza kuikuta Simba sidhan kaka.

Kwanza kesi yenyewe haileweki, waandishi wa habari wameripoti kutoka kwenye tangazo la Yanga lakini kwenye mtandao wa CAS kesi haipo.

Mwaka huu mwanzoni Yanga walisema wamepata barua kutoka CAS kwamba utetezi wa Morrison hauna mashiko hivyo wamelipa hela yao na pia wamemlipia Morrison ili kesi ipangiwe Jaji. Kwenye taarifa ya juzi Yanga wamekuja na lingine kwamba Morrison aliweka pingamizi CAS. Sasa taarifa ya ukweli ni ipi ile ya January au hii. Hapa Kuna janja janja tu

Mwisho Morrison aliwekwa huru na TFF hivyo Kama ni rungu la FIFA basi litaenda kwa tff ambapo ligi inaweza kufutwa. Sioni Yanga Kama wanaweza kukata tawi ambalo hata wao wamekalia.
 
Morisson aweke vipi pingamizi kwenye kesi aliyoshinda?

Simba na Morisson hawaongei kwasababu wanajua hakuna kesi hapo, ni hao wasanii ndio wanapenda kudanganyana tu.
 
La bda wapeleke nyoka cas ndio watashinda kesi
 
Wee ndy popoma kabisa, aliyekwambia Kuna hearing tarehe 2 Ni Nani?
 
huwajui yanga,Hawa jamaa wapo tayari kwa lolote,na tatizo lipo tff ku side upande mmoja wa club,wao wanaona ni Kama wamewekwa mtu Kati,pale tff pana shida Sana.
 
Kamati ya TFF haikusema Morrison hana mkataba na Yanga ilisema, mkataba una mapungufu.........kwa mwenye akili timamu bila kuwa na ushabiki kichwani atakuwa ameelewa.....kesi ya msingi ilikuwa Morrison anamkataba au hana.......kamati ikaja badala ya kujibu anao au hana.......wanakuja na story za mapungufu wakati hoja ni anao au hana
 
Kwa hiyo mtu akigunduliwa kuwa na hela bandia, ana hela au hana?
 
Yanga nao waandae Wanasheria nguli kuwakabili Mikia huko CAS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…