Simba SC siku zingine msilirudie tena Kosa hili la Kiufundi na Binafsi mmenikera

N

Naona unataka kuiamsha Mizimu yangu ya Kizanaki na Kimakuwa Mkuu si ndiyo? Wewe endelea tu ila nikikufyatukia usimilaumu wala usikimbilie kwa Mapilato wa Jamvi la Jamiiforums ( Moderators ) sawa?
Unadhani wewe unavyokimbilia kwa mapilato km mtoto wa kike ndio kila mtu ana hizo mambo?
 
Ila nimegundua na wewe ni tatizo ama project ya gsm.

Unatumia muda mwingi kudhoofisha saikolojia ya wachezaji wa Simba huku ukijinadi kama mpenzi wa Simba.

Sina uhakika una nafasi gani kwenye timu hii,ila kama utakuwa umewahi au unafanya kazi Simba,basi itakuwa nafasi ya udaktari wa timu.

Unajitahidi kuivuruga na kuichafua sana Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…