Assistant coachNa Mgunda Jee?
Mgunda alikuwa anakaimu tu na Simba SC toka awali ilikwishatoa ufafanuzi.wanadharau makocha wa ndani, Mgunda kakosea wapi? Badala ya kusajili wachezaji tunasajili kocha
Pep aliazimwa.Yaaan Timu zetu hizi kubwa bila kuwa na makocha weupe wanaona bado kabisa..
Mgunda nawe amsha tafuta Timu chap, usibaki hapo kama msaidizi
Haya majina ya R hayaKila la kheri robertiho
Sababu zipi zimepelekea apewe boss mpya? Unafikiri kufuzu makundi ya CAF ni jambo dogo? Kocha aliyekuja ni mzuri lakini tatizo letu ni kukurupuka hatutulii na kocha mmoja,Mgunda angeaminiwa na kupewa wachezaji wazuriUnamaana gan kusema tunamdharau?, wewe na nan mnaomdharau? Timu kupata kocha mkuu ni kumdharau kaimu kocha mkuu?
Kwa mambo aliyofanya kutupeleka makundi imeonekana hatoshi??Mgunda alikuwa anakaimu tu na Simba SC toka awali ilikwishatoa ufafanuzi.
Hata Mgunda asingekuwepo , Simba SC kuingia makundi CAFCL ni kawaida japo kuna wakati mazoea yanatuponza.Kwa mambo aliyofanya kutupeleka makundi imeonekana hatoshi??
Heri ya mwaka mpya rafiki yangu mimiDuuuh
Hata wewe ukiwa kocha Simba inaweza kwenda Makundi 😂😂Hata Mgunda asingekuwepo , Simba SC kuingia makundi CAFCL ni kawaida japo kuna wakati mazoea yanatuponza.