Simba SC 'tumezubaa' sana, 'tunakomolewa' huku Yanga SC ikitumia mwanya huu 'Kujiimarisha' 'zaidi 'Kimkakati' ili kuwa 'Mabingwa wa NBC Premier League

Sikupingi,fitna zipo..unajua tatizo lililopo Simba sasa hivi ni ubahili hasa kwenye kutoa hela kwenye "michongo" ya nje wa uwanja..unajua kwanini? Kuna viongozi pale ni much know..eti timu iko ki profesional..kwahyo hawaendekezi hizi habari..matokeo yake tunayaona..!
 
Watu wa pwani bhana. Ndio maana nchi yetu haiendelei.
 

Kwahiyo unamaanisha Yanga nao sababu wanaongoza sasa hivi wanatumia
45%Rushwa
40%Uchawi
5%Uwezo kiuchezaji?
Au inawahusu Simba Tuu???
 
Bora na nyie mmemshtukia huyo k@azi.
 
Hapo hamna hata wa kumtisha seif magari,hao wote ukiwajumlisha unapata seif mmoja,hapo bado kuna davis mosha,bin kleb,chanji,Yanga hadi shabiby ndani,mikia mjipange hasa
Nikipewa hilo Jukumu kisha nikapewa Kassim Dewji, Juma Nkamia, Crescetius Magori, Idi Kajuna, Mwina Kaduguda na Hassan Hasanoo Yanga SC akiwa Bingwa mwaka huu njooni Mnichije.
 
Hopeless....!!!!
 
Kwa ile forward yenu makolo fc hata mcheze kwa mkapa mechi zote zilizobakia bado hamtoboi msimu huu
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Utopolo akifungwa moja tu na kutoa droo 4 biashara yake imekwisha
 
Mtibwa vs Yanga ni Tabora mtajua hamjui mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…