Simba SC 'tumezubaa' sana, 'tunakomolewa' huku Yanga SC ikitumia mwanya huu 'Kujiimarisha' 'zaidi 'Kimkakati' ili kuwa 'Mabingwa wa NBC Premier League

Simba SC 'tumezubaa' sana, 'tunakomolewa' huku Yanga SC ikitumia mwanya huu 'Kujiimarisha' 'zaidi 'Kimkakati' ili kuwa 'Mabingwa wa NBC Premier League

Mtibwa wamekanusha, game itapipgwa Manungu.Hata hivyo Mtibwa atakufa palepale Manungu.
Simba wana hamu sana kuona mechi ikicheza pengine ili waibariki kauli yao kuwa walihujumiwa. Sasa wakisikia unachezwa Manungu watakuwa na shauku kuona Yanga ikifungwa au kutoa sare ili walalishe kuwa uwanja ndio uliochangia wao kutopata alama tatu
 
Back
Top Bottom