ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Jan 29, 2022 #61 Last emperor said: Utopolo akifungwa moja tu na kutoa droo 4 biashara yake imekwisha Click to expand... Wakati nyie hamfungwi si ndio?
Last emperor said: Utopolo akifungwa moja tu na kutoa droo 4 biashara yake imekwisha Click to expand... Wakati nyie hamfungwi si ndio?
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 Jan 29, 2022 #62 akili akili said: Mtibwa wamekanusha, game itapipgwa Manungu.Hata hivyo Mtibwa atakufa palepale Manungu. Click to expand... Simba wana hamu sana kuona mechi ikicheza pengine ili waibariki kauli yao kuwa walihujumiwa. Sasa wakisikia unachezwa Manungu watakuwa na shauku kuona Yanga ikifungwa au kutoa sare ili walalishe kuwa uwanja ndio uliochangia wao kutopata alama tatu
akili akili said: Mtibwa wamekanusha, game itapipgwa Manungu.Hata hivyo Mtibwa atakufa palepale Manungu. Click to expand... Simba wana hamu sana kuona mechi ikicheza pengine ili waibariki kauli yao kuwa walihujumiwa. Sasa wakisikia unachezwa Manungu watakuwa na shauku kuona Yanga ikifungwa au kutoa sare ili walalishe kuwa uwanja ndio uliochangia wao kutopata alama tatu