Simba SC v Young Africans SC

hivi aliyepiga penati ni nani maana mara ali mustafa mara musa mude mara william?
 
vipi mkuu mbona dogo anauza gemu..

Kwa sababu hii ni mechi ya mwisho na hatushiriki mechi za CAF ngoja tuache iishe hii ili tuachane na stress za kufungwa, maana mwaka huu mnyama katukosesha raha sana.
 
Nam'miss mchezaji wa aina ya Salum Kabunda "Ninja" mida hii tayari Chanongo angekuwa jukwaani anaangalia wenzake

Mkuu Chanongo anawakosesha raha mpaka unataka aumizwe?
 
Huyu Ngassa simuelewi kabisaaaaa,kalamba advance lakini anakaza balaa.

Dk45+2:Simba0-1Yanga.
Kavumbagu dk4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…