Yombayomba
JF-Expert Member
- Aug 23, 2006
- 818
- 214
Mkuu SI,We mwache tu
Kumbe bado uko hai? ha ha ha ha nashukuru umekuja, leo umekuja kushuhudia mtu kupakatwa ha ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu SI,We mwache tu
Penalt wanapewaga wachezaji wazoefu poleni vijana
Kaka ww relax hawa wametangulia na baiskeli ya mabarafu
Nam'miss mchezaji wa aina ya Salum Kabunda "Ninja" mida hii tayari Chanongo angekuwa jukwaani anaangalia wenzake
vipi mkuu mbona dogo anauza gemu..
Yani unamsifia kudaka kimpirakimepigwa kama shuti la mlevi
Simba kama TANESCO wanategemea mvua.
kaka utakuja kufa mipila ya bongo ukienda uwanjan uende na glucose!
Mods mko wapi watu wanaongea matusi humu JF
Nam'miss mchezaji wa aina ya Salum Kabunda "Ninja" mida hii tayari Chanongo angekuwa jukwaani anaangalia wenzake
Yanga wacheza jamani
Huyu mtoto Ngassa atarudisha hela yetu