Inaonekana wamem'mwasika paleWamefanyaje?
Kanyanyuka lakini ni kama alipigwa ndosi ya pua.Wamefanyaje?
Mie sijapenda kabisa, nilitaka 6-0. Kushinda ilikuwa ni obvious kwa Yanga.
Inaonekana wamem'mwasika pale
No,june-july kagame cup!Haya jamani kwaherini tutakutana mwezi wa
8.
Sijui nita lala wapi leo. Maana nyumba nzima yanga tupu.
leo simba komaeni misimu ijayo tu..