Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

Haya mlioshinda hongereni na mlioshindwa poleni sana.
tukutane kapakatwa pub hata kwa walioshindwa karibuni sana
 
Mie sijapenda kabisa, nilitaka 6-0. Kushinda ilikuwa ni obvious kwa Yanga.

Mkuu hamna timu ya kufunga magoli yote hayo, wewe angalia magoli yote mliyofunga yametokana na dead balls. inaonyesha kwamba timu haikuwa na ujanja wa kupangua mabeki na kuweka kitu nyavuni.
 
Wadau wa Yanga tukutane ''simba kapakatwa pub'' ili tupate kusherekea ubingwa wetu.
 
Hongereni sana wachezaji wa Yanga, Uongozi wa Klabu, wanachama na mashabiki wa Yanga popote mlipo duniani!
 
Ngassa anapewa jezi ya Yanga na Tegete...............anaenda nayo kwenye vyumba vya Simba.
 
Sijui nita lala wapi leo. Maana nyumba nzima yanga tupu.

Mwambie ram akukaribishe kwake, ingawa na yeye ni Yanga lakini atakuelewa kwa sababu ni mwajf mwenzako.
 
Last edited by a moderator:
Tumemchana Simba tumebeba ubingwa inauma sana kwa wanasimba,mimi nimefurahi
 
Hongera yanga.simba tujipange kwa msimu ujao.MIA
 
Back
Top Bottom