Jamani final score ni ngapi? Nimefungua pages nyingi sioni ..
No,june-july kagame cup!
Yeah! Hata Yanga tulifungwa 5 kati yake 3 ni matuta, hapo unasemaje?
Washenzi sana Yanga tunawadai goli 5 za mwaka jana, *@#^`$¿ zenu!
Alikuwa rais wa Yanga huyo, tukutane Kagame
Namuona Jerry kavaa jezi ya Ngassa iliyotumika leo.jaman timu gan zmeshuka reasmi? Toto letu limepona?
Hivi simba wanavalishwa medali za nini? This was not a final!
Sijui nita lala wapi leo. Maana nyumba nzima yanga tupu.
Mtafute CRASHWISE uombe hifadhi
Yeah! Hata Yanga tulifungwa 5 kati yake 3 ni matuta, hapo unasemaje?