Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

Hivi simba wanavalishwa medali za nini? This was not a final!
 
No,june-july kagame cup!

Kagame CUP hatushiriki, hatutaki stress tena, tunaenda zetu England kuchukua mafunzo wa Sunderland kwa ajili ya ligi, hatuchezi mechi yoyote ya kimataifa mwaka huu, hiyo nafasi yenyewe ya tatu imetutoa jasho na inawezekana kabisa Kibadeni aliwaambie Kagera Sugar wasikaze kwenye mechi zile mbili ili timu yake ya zamani angalau ipate nafasi ya tatu.
 
Watangazaji wa supersport wanampendekeza Chuji kuwa MTM ngoja tusubiri tff watasemaji..
 
kombe bila kumfunga kigaragosi simba ni sawa na nyerere international airport kukosa ndege za kuland na kutakeoff
 
Ona yanga wacheza leo!
Ooh wacheza leo!
Juma K kakanyaga moto!*4
 
Yeah! Hata Yanga tulifungwa 5 kati yake 3 ni matuta, hapo unasemaje?

Mawili yalikuwa ya move, na matatu move ziliharibiwa ndo maana zikatoka penati; Mkuu hata hivyo nimewapongeza ila ninachosema ni kwamba timu haikuwa na uwezo wa kufunga goli sita: magoli machache ndo yenu, magoli mengi Simba huwa anafunga akiwa vizuri.

Jikumbushe hapa.

Ungeweka na zile nne nne ili ipendeze, na listi kamili ingekuwa hivi:
Awamu ya Nyerere (JULAI 19, 1977) Simba 6-0 Yanga,
Awamu ya Mwinyi ( JULAI 2, 1994) Simba 4-1 Yanga,
Awamu ya Mkapa (MACHI 31, 2002.) Simba 4-1 Yanga,
Awamu ya Kikwete (MEI 6, 2012) Simba 5-0 Yanga.
 
Back
Top Bottom