Sijui nita lala wapi leo. Maana nyumba nzima yanga tupu.
Kwani uliahidi 'kubanduliwa'?
Mawili yalikuwa ya move, na matatu move ziliharibiwa ndo maana zikatoka penati; Mkuu hata hivyo nimewapongeza ila ninachosema ni kwamba timu haikuwa na uwezo wa kufunga goli sita: magoli machache ndo yenu, magoli mengi Simba huwa anafunga akiwa vizuri.
Jikumbushe hapa.
Ungeweka na zile nne nne ili ipendeze, na listi kamili ingekuwa hivi:
Awamu ya Nyerere (JULAI 19, 1977) Simba 6-0 Yanga,
Awamu ya Mwinyi ( JULAI 2, 1994) Simba 4-1 Yanga,
Awamu ya Mkapa (MACHI 31, 2002.) Simba 4-1 Yanga,
Awamu ya Kikwete (MEI 6, 2012) Simba 5-0 Yanga.
'Libolo' 2-0 Simba.
Kwi......! kwiiii....! kwiiii...!
Haahahahahaaa Jamani ukii-miss JF siku moja umepunguza siku zako za kuishi!!!
Interest ilikuwa ni kuonyesha timu gani ina uwezo wa kufunga magoli mengi kwenye mechi moja.mkuu ungetuwekea histori ya mapambano kati ya timu hizi mbili.
Tuambie wamekutana mara ngapi?droo ngapi?simba kachezea jumla ya ma-libolo mangapi?
kwani vipi mkuu ulikuwa hujui..
Yanga %>>*^]£ kweli. Tunawadai goli 5 mnaridisha 2. Sisi hatupendi madeni ya rejareja!
Tanzania wanaiga iga mambo sijui wakoje
duh leo MDUDU ameshughulikiwa na kandambili