Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

Mawili yalikuwa ya move, na matatu move ziliharibiwa ndo maana zikatoka penati; Mkuu hata hivyo nimewapongeza ila ninachosema ni kwamba timu haikuwa na uwezo wa kufunga goli sita: magoli machache ndo yenu, magoli mengi Simba huwa anafunga akiwa vizuri.

Jikumbushe hapa.

Ungeweka na zile nne nne ili ipendeze, na listi kamili ingekuwa hivi:
Awamu ya Nyerere (JULAI 19, 1977) Simba 6-0 Yanga,
Awamu ya Mwinyi ( JULAI 2, 1994) Simba 4-1 Yanga,
Awamu ya Mkapa (MACHI 31, 2002.) Simba 4-1 Yanga,
Awamu ya Kikwete (MEI 6, 2012) Simba 5-0 Yanga.

mkuu ungetuwekea histori ya mapambano kati ya timu hizi mbili.
Tuambie wamekutana mara ngapi?droo ngapi?simba kachezea jumla ya ma-libolo mangapi?
 
Yanga africa!!Yanga africa!!mabingwa wa tanzania!africa mashariki na kati eeeeeh!!!!!
Abas Gulamari!rais wa Yanga!!!
 
mkuu ungetuwekea histori ya mapambano kati ya timu hizi mbili.
Tuambie wamekutana mara ngapi?droo ngapi?simba kachezea jumla ya ma-libolo mangapi?
Interest ilikuwa ni kuonyesha timu gani ina uwezo wa kufunga magoli mengi kwenye mechi moja.
 
Yanga %€>>*^]£ kweli. Tunawadai goli 5 mnaridisha 2. Sisi hatupendi madeni ya rejareja!
 
Yanga Afrika.....Yanga Umoja wa Mataifa....Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati.......

Yanga: Daima mbele, nyuma mwiko bin kharamu.....

 
Last edited by a moderator:
attachment.php
 
Tanzania wanaiga iga mambo sijui wakoje

Wako sahihi. Mashindano yamefikia tamati. Simba wamevalishwa medali za mshindi wa 3. Yanga wamevalishwa medali za DHAHABU za mshindi wa Kwanza, Azam watajiju huko waliko.
 
Back
Top Bottom