Mtz.mzalendo
JF-Expert Member
- Jul 22, 2012
- 357
- 49
Mkuu Yanga hawana timu ya kuifunga Simba goli tano, mkijitahidi sana itakuwa moja bila au draw na sana sana tutawachapa mbili moja; Timu yetu si mbaya kiasi hicho; toka ligi ianze magoli mengi ni mawili tu yale ya Mtibwa.
Kwa hiyo hadi dakika 90, display itasoma hivi: Simba 2-1 Yanga.
hyo mbna ipo virse versa mkuu
Mkuu ChescoMatunda hivi ndio wewe yule Chesco Matunda bingwa wa salam wa enzi zile na ambaye anatuma sana msg kwenye vipindi vya michezo na mnazi mkubwa wa Yanga au umecopy na ku past I'd ya mshikaji?Niko uwanjani taifa mashabiki kama nyuki na kwa jinsi vuvuzela zinavyolia ni Yaangaaa oyeeeeeeeeee
nasikia mpaka sasa saa sita hakujadondoka hata tone moja la mvua ikiwa ni dalili ya timu ya simba kupoteza, au wachawi wao wamebadilihsa mikakati?
du!!! Hii match leo inatoa na watu,hya mkuu,tuombe leo tukabidhiwe kombe tukiwa tumempga mnyama hata 6!!
Vipi chanel gani itaonyesha live?
Hivi hawa supersport online hawapo?
Nani huyo?Kuna uzi nomeuona kuna mtu kasema leo atajing'ata 'MATAKONI'endapo timu yake itachezea kichapo.
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi, bahati mbaya leo sitakuwepo uwanjani, itabidi tuwasiliane zaidi kama nitaona inafaa unipe hiyo ajira.
Usipendelee sasa!Nimesha kaa mkao wa kurusha LIVE kabetri kapo full chaji.
duh, yaani watu mnalamba ajira humuhumu. JF kiboko.
Usipendelee sasa!
Anaitwa mandietaNani huyo?