Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

Mkuu Yanga hawana timu ya kuifunga Simba goli tano, mkijitahidi sana itakuwa moja bila au draw na sana sana tutawachapa mbili moja; Timu yetu si mbaya kiasi hicho; toka ligi ianze magoli mengi ni mawili tu yale ya Mtibwa.

Kwa hiyo hadi dakika 90, display itasoma hivi: Simba 2-1 Yanga.

Umekosea Mkuu, ni hivi Simba 0 - Yanga 5
 
Niko uwanjani taifa mashabiki kama nyuki na kwa jinsi vuvuzela zinavyolia ni Yaangaaa oyeeeeeeeeee
Mkuu ChescoMatunda hivi ndio wewe yule Chesco Matunda bingwa wa salam wa enzi zile na ambaye anatuma sana msg kwenye vipindi vya michezo na mnazi mkubwa wa Yanga au umecopy na ku past I'd ya mshikaji?
 
Last edited by a moderator:
nasikia mpaka sasa saa sita hakujadondoka hata tone moja la mvua ikiwa ni dalili ya timu ya simba kupoteza, au wachawi wao wamebadilihsa mikakati?

Leo Simba wanachukua 7.
 
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi, bahati mbaya leo sitakuwepo uwanjani, itabidi tuwasiliane zaidi kama nitaona inafaa unipe hiyo ajira.

duh, yaani watu mnalamba ajira humuhumu. JF kiboko.
 
yanga wanaingia wakiwa na historia ya kipekee ya kuchapa refa makofi , mateke na ngumi za haja katika ligi kuu tanzania bara ukipenda waite vijana wa jangwani lishe kwa tatizo
 
Back
Top Bottom