Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Okay mnashinda.Hapo kwenye RED ondoa hilo neno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay mnashinda.Hapo kwenye RED ondoa hilo neno.
Tupieni na picha basi wakuu.Haki ya mama yangu mzazi sijawahi kuona uwanja wa Taifa umejaaa kiasi hiki,ndio kwanza natinga ndani ya uwanja huu,robo tatu ya uwanja umesheheni rangi ya njano,kijani na nyeusi.
Haya ila hawana mvuto kiutangazaji baadae rudi tbc taifa au kiss fm
Wako off air wote hao.
ah ah ah, mkuu kumbe wakitoka madarakan utawamic sana!
Full nyuki,full nundu,mtu nyomi taifa aise.
Wachezaji wanapasha misuri yao sasa.Pia naona Wachezaji wa Simba wanakizunguka kibendera cha kona.
Okay mnashinda.
Mkuu upande wa Yanga umejaa full hakuna nafasi,nenda sogea kule upande wa Simba.Haki ya mama yangu mzazi sijawahi kuona uwanja wa Taifa umejaaa kiasi hiki,ndio kwanza natinga ndani ya uwanja huu,robo tatu ya uwanja umesheheni rangi ya njano,kijani na nyeusi.
Haya ila hawana mvuto kiutangazaji baadae rudi tbc taifa au kiss fm
Heres Young Africans line-up to face Simba SC today:Tupieni vikosi basi tuone ushindi unalalia wapi.
Yasije kutokea maafa huko aisee...Uwanja tayari ndani umetapika.
Walioko nje ya uwanja ni nyomi ya kutosha pia.
Sa wakiingia watakaa/simama wapi?
Hii hataree!
Mkuu uwanja umesheheni ni Yanga tu kila kona hawa wakifungwa na Simba leo wanaweza wasitoke ndani ya huu uwanja.
Mkuu upande wa Yanga umejaa full hakuna nafasi,nenda sogea kule upande wa Simba.
Na hiyo nyomi iliyoko nje sijui watakaa wapi kudadadeki!
Raha kubeba ndoo na kumchinja mnyama, Kaseja anadaka leo
Mkuu weka na kikosi cha Simba.Heres Young Africans line-up to face Simba SC today:
1.Ally Mustapha - 1
2.Mbuyu Twite - 6
3.David Luhende - 29
4.Nadir Haroub 'Cannavaro' -23
5.Kelvin Yondani - 5
6.Athumani Idd 'Chuji'- 24
7.Saimon Msuva - 27
8.Frank Domayo - 18
9.Didier Kavumbagu - 7
10.Hamis Kiiza - 20
11.Haruna Niyonzima - 8
Subs:
1.Said Mohamed - 30
2.Juma Abdul - 14
3.Oscae Joshua - 4
4.Nurdin Bakari - 22
5.Nizar Khalfani -16
6.Said Bahanauzi - 11
7.Jerson Tegete - 10
Hapo kweli yanga wakifungwa lazima maafa yatatokea....Mkuu uwanja umesheheni ni Yanga tu kila kona hawa wakifungwa na Simba leo wanaweza wasitoke ndani ya huu uwanja.
Mkuu mimi nina kibali maalum niko kwa wageni rasmi huku juu kabisa na tayari nimekaa,uwanja unatisha kabisa.