Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

Safi sana yanga,ubingwa sasa mtamu,tumeua mnyama na kukabidhiwa kombe
 
Leo Barthez kamtia aibu sana Kim Paulsen....eti alikuwa analijumuisha lile Kipa la akiba la Azam(Aishi Manula) anamwacha Barthez ona sasa alivyomuumbua
 
Hongereni washabiki wote wa Yanga, tuonane msimu ujao.
 
Sijui nita lala wapi leo. Maana nyumba nzima yanga tupu.
 
totally agree with you Masuke, pongezi zenu mashabiki na wachezaji wa timu ya yanga.

Tutajipanga, tuonane msimu ujao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom