Simba SC Vs Coastal Union (2-0)| Simba yatwaa Ubingwa msimu wa 2020/21

Wamshukuru sana kibendera Leo la sivyo
Kwahiyo Lines man mngemaliza nae mapema now zingekuwa saba zimefika
Hilo la kumalizana na refa wewe ndio umesema sio mimi
 
Halafu inaonekana huyu Lines man alisahaulika kwenye mgao
 
Kinachoendelea kule kwa Mkapa Stadium, ni comedy tupu. Pipa na mfuniko wanapepetana.
Hivi unafanya nini humu kwny uzi wa Mabingwa hahahahah unatesekea kutoka Dimbwi lipi Chura weye
 
πŸ’’Mechi ya kununua kama hii angekua Kagere saa hizi ana goli 4 ila huyu mtafuna jojo nafasi 10 goli 1
:
Ikiuma kausha hatuna ugomvi tunaambiana ukweli tu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…